Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWSS : BUNGE MAALUM LA KATIBA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA VURUGU

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge  la Katiba Mh. Pandu Kificho ameahirisha Semina ya kujadili Kanuni za Bunge Maalum la Katika Kutokana na Vuruguru Kutokana na Hali ya Kutokuelewana Kati ya Mbunge wa Jimbo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAYA ZAIDI YA 42 ZAKOSA MAHARI PA KUISHI KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA...

Diwani wa kata ya Kipawa,Bonnah Kaluwa wa pili nyuma akikagua nyumba za wakazi wa eneo la Karakata kata ya Kipawa ambao nyumba zao zimebomoka na kuezuliwa na upepo mkali.Moja ya nyumba zilizoezuliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI YA HEWA YATABIRI MVUA ZA MAAFA PWANI

 “Hata shughuli za kilimo zinapaswa kufanyika kwa kuzingatia ushauri wa wataalamu wa kilimo.”Dk Agnes Kijazi.PICHA|MAKTABA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetabiri kuwa mvua kubwa zitanyesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA NA UDOWNLOAD HAPA WIMBO WA SNURA - USHAHARIBU

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROIN PROMOTIONS LIMITED SASA KUZUNGUKA NCHI NZIMA KUSAKA VIPAJI KUANZIA...

Meneja wa Mradi wa Kusaka Vipaji Vya Uigizaji Tanzania (Tanzania Movie Talents) Bw Joshua Moshi akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wakutambulisha kampeni mpya ya kusaka Vipaji vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA HAPA HABARI KAMILI KUHUSU VURUGU ZILIZOTOKEA LEO KWENYE BUNGE LA KATIBA

Sehemu ya Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba wakitawanyika mara baada ya mwenyekiti kuahirisha kikao kutokana na baadhi ya wajumbe kutoelewana katika hoja. ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI DODOMA LAWASHIKILIA WANAWAKE 15 WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA...

RPC wa Dodoma, David MisimeNa. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NENO LA LEO: KUMBE POSHO NZURI KAZINI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI WATOTO KAMA HAWA WAPO WANGAPI MTAANI NA JE SERIKALI IMECHUKUA HATUA GANI...

 Leo blog hii ya Pamoja Blog ilifanikiwa kumnasa kijana mmoja wa mtaani ambaye alikuwa anaosha vioo vya magari kwenye foleni ya makutano ya barabara ya Morroco road, Alli Hassan Mwinyi, Mwai Kibaki na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA MARCH 07, 2014

Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI  Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YATOKEA MKOANI TABORA BAADA YA BASI LA AM COACH KUGONGANA NA ROLI

Ajali mbaya ya basi la kampuni ya AM Coach lenya namba T 763 AYN imetokea  mkoani Tabora baada ya basi hilo kugongana na lori mali ya kampuni ya soda ya Coca Cola lenye namba za usajili T 256 BPPKwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI NDIZO PICHA ZILIZOTIKISA JANA KWENYE BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Halima Mdee, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kawe (CHADEMA), akiwa haamini kinachoendelea kwenye ukumbi wa bunge wakati wajumbe wa bunge hilo walipocharuka jana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: AJALI YAUA MTU 1 NA KUJERUHI 17 RUNGWE

 Habari Zilizotufikia Hivi Punde Kwamba Ajali ya basi Lililokuwa likitokea Dar kwenda Rungwe Limepata ajali Usiku wa Kuamkia Leo na Kusababisha Kifo cha Mtu Mmoja na Kujeruhi Watu 17. Kwa habari zaidi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNA JAMBO UNATAKA KUAMUA MAISHANI? JIFUNZE NAMNA NZURI YA KUULIZA MASWALI...

Kuuliza maswali ni taaluma katika kuwasiliana na watu wengine, unahitaji kujua namna ya kuuliza maswali kulingana na mtu , wakati na sehemu uliyopo.1. Swali zuri linahitaji ubunifu katika kufikiri Huu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO: HESHIMA KAMA HII INAWEZA KUPATIKANA MJINI?

Mwanamke ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, akipiga magoti kwa heshima pembeni mwa barabara baada ya kuona msafara wa kiongozi ukipita eneo hilo na kuamua kusimama  na kisha kutoa heshima...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO ORODHA YA VYUO VIKUU 100 VYENYE HESHIMA DUNIANI 2014, AFRIKA HAKUNA...

Jarida la Times Higher Education, la London nchini Uingereza ambalo huangazia soko la vyuo vya elimu ya juu duniani, limetoa ranking yake ya nne ya mwaka ya vyuo vikuu vinavyoheshimika zaidi duniani....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHAMIAJI HARAMU 46 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MKOANI IRINGA

Wahamiaji Haramu hao walikamatwa juzi katika kitongoji cha Gezaurole katika kata ya Ruaha Mbuyuni tarafa ya Mahenge wakati jeshi la polisi likiwa katika doria ya kawaida na kulitilia mashaka gari hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTANA NA MTOTO WA KWANZA KUZALIWA KWA NJIA YA UPANDIKIZAJI NCHINI

 Unapoingia katika nyumba ya familia ya Salehe Saidi, macho  na masikio yako hayawezi kukwepa  ucheshi wa kijana wa miaka 13, Jumbe Salehe. Ni kijana anayeipa tabasamu familia hiyo.Jumbe ni mwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIKO LA GESI LATEKETEZA NYUMBA MISUNGWI MKOANI MWANZA

Mwananchi akiwa juu ya paa la nyumba ya mtu mmoja maarufu kwa jina la Mama Mayunga, akijaribu kurusha vifuko vya mchanga katika moja ya majengo ya nyumba iliyozuka moto Jana majira ya saa 5 asubuhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI KWENYE BUNGE LA KATIBA LEO

 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mufti, Sheikh Thabit Noman Jongo akiongoza  dua ya asubuhi ndani ya ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Askofu Mstaafu Donald Mtetemela...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>