INASIKITISHA SANA: KIJANA AJICHINJA NDANI YA BASI NA KUFARIKI
Akiandika baruaKweli duniani kuna mambo kwani dereva na abiria wa basi la Manchester ambalo namba yake haikujulikana mara moja, lililokua likitoka Lindi kwenda jijini Dar es Salaam walijikuta...
View ArticleUNAHITAJI SHILINGI NGAPI ILI UWE NA FURAHA?
Je ni fadha kiasi gani inaweza kununua furaha yako? Kitu kikubwa ambacho kitapima furaha yako ni kuridhika na kufanikiwa kwa kile unachokifanya kazini kwako au kwenye biashara yako na maisha uliyonayo...
View ArticleMWELEKEO MPYA BUNGENI, PINDA ATOA HOJA KUTULIZA HALI YA HEWA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya papo kwa hapo Bungeni, mjini Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alifanikiwa kutuliza hali ya hewa bungeni baada...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA KWENYE BUNGE LA KATIBA LEO
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya...
View ArticleDOREEN NONI KUSHIRIKI SHINDANO LA AFRICA MAGIC CHOICE AWARDS LAGOS
Mjasiriamali na Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania, Doreen Noni akizungumza kwenye Exclusive Interview na mtandao wa MO blog.Na Damas Makangale, MOblog TanzaniaMJASIRIAMALI na Mbunifu wa mavazi nchini...
View ArticlePICHA YA LEO: POPOTE ULIPO TUNAKUFUATA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA VIKOSI VYA JWTZ VYA KOMANDO NA UHANDISI MEDANI MKOANI...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi (Mb), (Mwenye kaunda suti nyeusi) akisalimiana na Makamanda wa JWTZ mara baada ya kupokelewa na Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi,...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO MARCH 05, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...
View ArticleMWENYEKITI MWINGINE WA CHADEMA AHAMIA CCM, AITABIRIA USHINDI WA KISHINDO...
MWENYEKITI wa Kitongoji cha Lupembelwasenga, Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya Chadema, Ezekiel Kibiki akikabishi kadi ya chama hicho kwa Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini Delfina...
View ArticleSOMA HAPA HABARI MPYA ZINAZOHUSU MTANZANIA JACK CLIFF ALIYEKAMATWA NA UNGA...
Jacqueline Patrick ‘Jack’.Modo mwenye mvuto Bongo Jacqueline Patrick ‘Jack’, ambaye yuko mahabusu ya Gereza la Qincheng nchini China kwa madai ya kunaswa na madawa ya kulevya nchini humo, anazidi...
View ArticleHAYA NI MAMBO SITA YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA KAMA UMEOMBA KAZI ILIYOPO...
Wakati wa kutafuta kazi, mara nyingi kuna kuchoka na ukifanikiwa kupata kazi unaweza kujikuta unachukua kazi bila kufikiri vitu vingi sana. Usipofikiri vizuri kazi hiyo inaweza kukugharimu fedha nyingi...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA:VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHALI HALISI YA MITAA MBALIMBALI YA JIJI DAR BAADA YA MVUA KUNYESHA
Huwezi kuamini lakini ndo ukweli hii ni mojawapo ya barabara ya mtaa wa Uhuru uliopo maeneo ya Mwenge ikiwa imejaa maji baada ya mvua kunyesha leo mchana lakini kikubwa cha kujua ni kwamba maji haya...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA PICHA KWENYE KESI YA OSCAR PISTORIUS, ALIA WAKATI KESI YAKE...
Kesi ya mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius Jumanne hii imeendelea kwa siku ya pili ambapo shahidi wa pili wa upande wa serikali amesema alisikia sauti za juu usiku alipouawa mwanamitindo...
View ArticleHOSPITALI YA SINZA YAJAA MAJI WAUGUZI WASITISHA HUDUMA KWA MUDA
Huu ni mtaro wa kupitisha maji taka ambao umepita kwenye kituo cha clinik yababa, mama na watoto kilichoko kwenye Hospitali ya Palestina amapo ulifumuka na kusababisha kusambaa kwa maji machafu katika...
View ArticleINASIKITISHA SANA: KICHANGA CHATUPWA KICHAKANI HUKO KAHAMA
Maiti ya mtoto huyo Mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na miezi 6 ambaye hajatambulika jina lake wala makazi amekutwa amefariki dunia kichakani baada ya kutupwa na mtu asiyefahamika katika kijiji cha...
View ArticleTASWIRA MBALIMBALI KWENYE BUNGE LA KATIBA LEO MJINI DODOMA
Mjumbe Mhe. Tundu Lissu akitoa ufafanuzi ya moja ya hoja zilizowekwa mezani na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa majadiliano ya rasimu za kanuni Mjumbe Mhe Evod Mmanda akijibu hojaENDELEA...
View ArticleZISOME HAPA KAULI KUMI(10) ZILIZOVUTA HISIA ZA WENGI KWENYE BUNGE LA KATIBA...
Ni vigumu kueleza matukio yote yaliyotawala kauli na hisia za wengi kwa wiki nzima mjini Dodoma bila kuangalia michango ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.Michango hiyo ya mawazo katika...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS MARCH 06, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarPata...
View ArticleJESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LIMEWATIA MBARONI WATU NANE (8) WANAOJIHUSISHA...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma DAVID MISIME - SACPNa: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu nane (8) wanaojihusisha na uhalifu wa makosa...
View Article