WANAOTUNGA MITIHANI YA NBAA WAFIKIWA
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea kutoa mafunzo kwa wataalam kutoka vyuo na taasisi mbalimbali ili kuhakikisha viwango vipya vya mabadiliko ya mtaala vinafuatwa...
View ArticleRAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKABIDHI TUZO KWA NSSF YA USIMAMIZI NA...
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeshinda tuzo ya Usimamizi na Uratibu wa Hifadhi ya Jamii kwa Sekta Binafsi nchini, wakati wa kilele cha Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini...
View ArticleEFTA YAFADHILI WAKULIMA WATANO KUJIFUNZA KILIMO BORA NCHINI UTURUKI
Na Magesa Magesa, Dar es Salaam.Katika juhudi za kuhakikisha wakulima nchini wanapata maarifa na mafunzo zaidi ya mbinu bora za kilimo. Kampuni ya EFTA inayojishughulisha na utoaji wa mikopo ya...
View ArticleEFTA YAFADHILI WAKULIMA WATANO KUJIFUNZA KILIMO BORA NCHINI UTURUKI
EFTA yafadhili wakulima Watano Kutembelea Uturuki Kujifunza Kilimo: Safari ya Kubadilishana Maarifa na Ubunifu wa Kilimo.Washindi wa Nunua Trekta Ushinde Safari YaUturuki wakiwa katika Uwanja wa ndege...
View ArticleTCAA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Mkurugenzi wa Idara ya huduma za Uongozaji ndege wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Mhandisi. Flora Alphonce akisikiliza maelezo kutoka kwa Kelvin Simon kutoka Kampuni ya Swissport Tanzania...
View ArticleTATCA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA MUONGOZA NDEGE KWA KUTOA ELIMU KWA...
 Afisa Muongozaji Ndege Mkuu Kituo Cha TCAA Uwanja wa Ndege wa AAKIA Abdalah Suleiman akitoa maelezo kwa wanafunzi wa Skuli ya Lumumba walipotembelea Mnara wa Kuongozea Ndege wakati wa Maadhimisho ya...
View ArticleBARAZA LA WAWAKILISHI ZIARANI NBAA
 Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Kanuni Ndogo Ndogo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mihayo Juma N’Hunga akizungumza wakati wajumbe wa kamati hiyo pamoja na viongozi wa Taasisi ya Wahasibu,...
View ArticleJUKWAA LA WANAWAKE KATIKA USAFIRI WA ANGA TANZANIA LAWAKUTANISHA WANAWAKE...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Mhe. Riziki Juma Pembe ( wa tatu kulia) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa nembo ya Jukwaa la Wanawake katika usafiri wa anga...
View ArticleTGNP YATOA MAFUNZO KWA WANAWAKE WAGOMBEA SERIKALI ZA MITAA
Afisa wa Program Mafunzo wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Anna Sangai akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi wakati wa ufunguzi wa warsha...
View ArticleTCAA YASHIRIKI MKUTANO WA WATAALAM WA LOGISTIKI NA USAFIRISHAJI NCHINI.
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa idara ya Udhibiti Uchumi kutoka TCAA Bw. Daniel Malanga cha udhamini wa mkutano wa Chama cha Watalaam wa Logistiki na...
View ArticleKAMATI YA BUNGE, USTAWI NA MAENDELEO YA JAMII YAWATAKA WATUMIAJI DARAJA LA...
 *Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu*Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hiloNa MWANDISHI WETU,Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii,...
View ArticleDkt. Kikwete Ashauriana na Viongozi wa Benki ya Dunia Kunusuru Elimu
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani (GPE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bi. Mamta Murthi, Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia...
View ArticleTCAA YATOA ELIMU SHULE YA SEKONDARI YA KIBASILA
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imetoa elimu kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na Mamkala hiyo kwa wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Kibasila na kuwataka kusoma masomo ya sayansi ili...
View ArticleSHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA JANGWANI YAFIKIWA NA TCAA
Afisa Mkuu udhibiti uchumi na Biashara kutoka Kitengo cha Uchumi TCAA Eufrasia Bille akitoa elimu kwa wanafunzi wa wanaosoma masomo ya Sayansi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani ikiwa...
View ArticleTGNP YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI NA MAAFISA MAENDELEO
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) imetoa mafunzo ya uchambuzi wa masuala ya kinjisia na bajeti yenye mrengo wa kijinsia kwa Watendaji na Maafisa maendeleo ya jamii yaliyofanyika jijini Dar es...
View ArticleTCAA YAADHIMISHA SIKU YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) mwaka 2024 kwa kupandisha bendera ya Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga Duniani(ICAO),...
View ArticleNAIBU WAZIRI MKUU AONGOZA MBIO ZA UDSM MARATHON, TCAA YASHIRIKI
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) imetumia Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani(ICAD) kushiriki katika mbio za Marathon zilizoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).Mbio hizo...
View ArticleTANZANIA INA MARUBANI 603 MIONGONI MWAO WANA UDHAMINI WA TCAA
Tanzania ina jumla ya marubani 603, mÃongoni mwao ikiwa ni wazawa 344, wageni 259 huku ikiwa na uhitaji wa jumla ya marubani 755 na upungufu wa marubani 152.Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa...
View ArticlePSPTB YATANGAZA MATOKEO YA MITIHANI YA 29, WAWILI WAFUTIWA MATOKEO
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imetangaza rasmi matokeo ya mitihani ya 29 ya PSPTB iliyofanyika kuanzia tarehe 11 hadi 15 Novemba, 2024 katika vituo sita vya mitihani Tanzania bara na...
View ArticleNaibu Waziri Chande azindua Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA
Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande (Mb) ameitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kufanya kazi kwa weledi na ushirikiano kwa kuhakikisha inapitia mitaala iliyopo...
View ArticleNBAA YATANGAZA MATOKEO YA MITIHANI YA NOVEMBA MWAKA 2024
Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) katika kikao chake Maalam cha Pili kilichofanyika tarehe 19 Disemba, 2024 chini ya Mwenyekiti wake CPA. Prof....
View ArticleTCAA YAENDELEA KUIMARISHA MIFUMO YA MAWASILIANO SEKTA YA USAFIRI WA ANGA
Meneja wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA),Kituo cha Arusha Bw. Jackson Ndalu akiwaelezea Wajumbe wa Bodi ya TCAA jinsi shughuli za Uongozaji wa Ndege zinavyofanyika katika mnara wa kuongozea...
View ArticleNSSF YAUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUTUNZA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI...
*Yapanda miti eneo la Njedengwa, *Mkuu wa Mkoa ipongeza NSSF kwa kuunga mkono juhudi za Serikali za kutunza mazingira Na MWANDISHI WETU,DODOMA. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeunga mkono...
View ArticleBARAZA LA WAFANYAKAZI PSPTB LAFUNGULIWA
BODI ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imefanya kikao cha Baraza la wafanyakazi leo ili kujadili mafanikio, changamoto na njia za kuweza kutatua changamoto zilizojitokeza wakati wa uundaji wa...
View ArticleNSSF YAIPONGEZA ZANZIBAR HEROES KWA USHINDI WA KOMBE LA MAPINDUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, amepokea kiasi cha shilingi milioni 10 kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kama pongezi kwa ushindi wa Timu...
View Article