Diwani wa kata ya Kipawa,Bonnah Kaluwa wa pili nyuma akikagua nyumba za wakazi wa eneo la Karakata kata ya Kipawa ambao nyumba zao zimebomoka na kuezuliwa na upepo mkali.
Moja ya nyumba zilizoezuliwa na upepo mkali ulioambatana mvua kubwa eneo lakarakata kata ya Kipawa
Mwenyekiti wa Mtaa wa Karakata, Bwana Malick akitembelea wakazi walioathirika kwa nyumba zao zilizoezuliwa mapaa
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Diwani wa Kata ya Kipawa, Bonnah Kaluwa akiwa na ujumbe wa serikali ya mtaa alitembelkea eneo hilo
Diwani wa kata ya Kipawa, Bwana Bonnah Kaluwa akiwa na ujumbe wa serika ya mtaa alitembelkea eneo hilo
Diwani wa kata ya Kipawa, Bonnah Kaluwa akiwa na ujumbe wa serika ya mtaa alitembelkea eneo hilo
Baadhi ya mafundi wakiwa kazini kundelea kufanya matengenezo ya nyumba zao
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni pia kaimu mkuu wa wilaya ya Ilala akiwana ujumbe wakitembelea badhi ya nyumba zilizoezuliwa mapaa ya nyumba
Mkuu wa wilaya ya Kinondonipia kaimu mkuu wa wilaya ya Ilala Jordna Lugimbana akionyesha moja ya nguzo ya nyumba iliyoathiriwa na mvua pamoja na upepo mkali na kuezua mapaa ya nyumba zipato 42 eneo la Karakata kata ya Kipawa jijini Dar essalaam leo
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni na pia kaimu mkuu wa wilaya ya Ilala Jordan Lugimbana akimpa pole Godbetes Eliasi aliangukiwa na tofali wakati mvua kubwa na upepo iliyoezuia nyumba yake karakata
Mama huyu anaeje ulikana kama Godbet Elias akionyesha sehemu ya kichwani baada ya kushonwa hospitali ya amana kutokana na kuangukiwa na tofali wakati wa upepo mkali na mvua kubwa iliyonyesha jana na kuezua vipa vya nyumba zipato 42 ambazo wakazi hao hawana pahala pa kuishi na mama huyu aliangukiwa na tofali akiwa anakimbia na mtoto wake mchanga baada ya nyumba yake kuezuliwa kipaa na ukuta kuanguka matukio hayo yametokea eneo la Karakata shamba jana
Magomeni Kondoa karibu na DDC
Tandale kwa Mtogole
Tandale kwa Tumbo
Eneo la Bamaga maji akiwa yamejaa kwenye barabara na hata maeneo mengi ya eneo hilo
Eneo la makutano ya barabara ya Bagamoyo na Shekilango Bamaga ikiwa imejaa maji baada ya mvua kunyesha