Mwanamke ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, akipiga magoti kwa heshima pembeni mwa barabara baada ya kuona msafara wa kiongozi ukipita eneo hilo na kuamua kusimama na kisha kutoa heshima kwa kupiga magoti hadi msafara huo ulipomalizika. Je heshima kama hii inaweza kupatina mjini katika zama hizi??(Picha na Sufiani Mafoto)
BOFYA HAPA KAMA UNATAKA KUFANYA KAZI ZA ONLINE
BOFYA HAPA KAMA UNATAKA KUFANYA KAZI ZA ONLINE