Jarida la Times Higher Education, la London nchini Uingereza ambalo huangazia soko la vyuo vya elimu ya juu duniani, limetoa ranking yake ya nne ya mwaka ya vyuo vikuu vinavyoheshimika zaidi duniani. Rank hiyo imetokana na maprofesa wa nchi zaidi 100 duniani kupendekeza vyuo 15 ambavyo wanaviona kuwa vina idara bora zaidi katika eneo la elimu. Takriban maprofesa 10,500 walihusika. Hii ni orodha nzima.
ENDELEA KUTIZAMA VYUO VINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI