NENO LA MTAANI KWETU LEO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AOMBOLEZA KIFO CHA MTOTO WA WAZIRI SOPHIA SIMBA DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Lefoord Simba, mtoto wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MARCH 08, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi Zanzibar ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...
View ArticleTAARIFA MUHIMU: SEMINA YA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM IMEAHIRISHWA MPAKA SAA TISA...
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Askofu Mstaafu Donald Mtetemela akiongoza sala ndani ya ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma.Kikao cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleLUPITA NYONG’O AUMALIZA MVUTANO WA URAIA WAKE KATI YA MEXICO NA KENYA
Lupita na wazazi wakeMwigizaji wa Hollywood Lupita Nyong’o ameendelea kuwa kwenye headlines kutokana na mafanikio ambayo anaendelea kuyapata huko Hollywood, kiasi ambacho hadi ulizuka mvutano kati ya...
View ArticleAJALI YATOKEA FRELIMO MKOANI IRINGA BAADA YA DALADALA KUPINDUKA
Abiria wakitoka kwenye gari hiyo baada ya kupindukaAbiria wakisaidiwa na wasamaria wema kutoka kwenye gari hiyoENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINIWananchi wakiendelea kuwasaidia abiria...
View ArticleHAYA NDIO MAMBO 10 YA KUFANYA KAMA UNGEPENDA WAFANYAKAZI WAKO WAKUPENDE
Kila mtu anapenda watu wamthamini na wampende, vivyo hivyo hata kwa mabosi wanahitaji kupendwa na kuthaminiwa maeneo ya kazi, ingawa kama mabosi huwa hawatambui kama wao ni mabosi wabaya. Dondoo hizi...
View ArticleTANZIA
Caroline Mbilinyi Enzi ya uhai wake Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUPDATES: MAMA MKUBWA WA MTOTO ADOLOTEA ALIYE UNGUA NA MOTO ATOWEKA NA MTOTO...
Huyu ndiye Mama Mkubwa wa Mtoto Adolotea Nyavike bi. Salome Kiegu(35) ambaye ametoweka na mtoto huyo kusiko julikana huku wasamalia wema wakitaka kutoa misaada.MTOTO Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa...
View ArticleSHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ZILIZOANDALIWA NA CSO GENDER COALITION...
Kutoka kushoto ni Miss Tanzania 2013 Happy Watimanywa , Dk. Agnes Nyomola kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye ni Mtaalam wa mambo ya Sayansi, na Specioza Rweyemamu ambaye ni Ispecta katika mambo...
View ArticleNDEGE YA MALAYSIA AIRLINE YADONDOKA KATI YA VIETNAM NA TAILAND ILIKUWA NA...
Waziri mkuu wa Malaysia, Nijib Razak ( katikati), Msaidi wa waziri mkuu Muhyiddin Yassin (Kushoto) pamoja na Waziri wa usafirishaji, Hishamuddin Hussin (kulia) wakizungumza na vyombo vya habari...
View ArticleMANISPAA YA KINONDONI MNALIONA HILI: WAFANYABIASHARA WANAFANYA KAZI CHINI YA...
Hapa ndipo makao Sogas yaliyopo Ubungo kwenye wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Sehemu hii inatumika kuzalisha umeme unaotumika kwenye grid ya Taifa. Lakini kuna wafanyabiashara wanaofanyia...
View ArticleTAZAMA HII VIDEO KAMILI YA CHATU ALIVYOMMEZA MAMBA MZIMA MZIMA.
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS KIKWETE AWAONGOZA VIONGOZI NA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MTOTO WAKE NA...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia na Watoto Mhe.Sophia Simba kufuatia kifo cha mwanaye Marehemu Leeford Simba...
View ArticleANGALIA PICHA YA JIWE LA AJABU NCHINI TANZANIA NA HAIRUHUSIWI KULIPANDA WALA...
Haya ndio maajabu ya Jiwe la Mbuji Wilayani Mbinga Mkoani RuvumaMaana ya neno Mbuji ni "Kitu kikubwa"1. Ni jiwe pekee kubwa Mkoani Ruvuma2. Lina vyanzo vingi vya maji chini yake3. Ni ngumu kulipanda na...
View ArticleUPDATES: MAMA ALIYETOROKA NA MTOTO ALIYEUNGUA NA MOTO APATIKANA NJOMBE
Huyu ndiye Mama Mkubwa wa Mtoto Adolotea Nyavike bi. Salome Kiegu(35) ambaye alitoweka na mtoto huyo kusiko julikana huku wasamalia wema wakitaka kutoa misaada.Hatimaye Mama aliyetoroka na mtoto...
View ArticleKUTOKA KWENYE BUNGE LA KATIBA NI RAHA TU LEO
Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe.Pandu Amir Kificho akiwa amesimama kutoa muongozo wakati wa kikao kilichofanyika jioni ya leo mjini Dodoma.Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI MARCH 09, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi Zanzibar ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...
View ArticleSHEREHE YA KUADHIMISHA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANA HAPO JANA KATIKA...
Wafanyakazi wanawake kutoka ofisi mbalimbali wakiwa wamejipanga kwaajili ya kuanza maandamano hapo jana yaliyoanzia katika shule ya msingini mabatini iliyopo Wilaya ya Temeke na kuishia katika uwanja...
View Article