$ 0 0 Habari Zilizotufikia Hivi Punde Kwamba Ajali ya basi Lililokuwa likitokea Dar kwenda Rungwe Limepata ajali Usiku wa Kuamkia Leo na Kusababisha Kifo cha Mtu Mmoja na Kujeruhi Watu 17. Kwa habari zaidi zitawaijia hivi pundeChanzo ITV