UPDATES: MAGARI ZAIDI YA 3000 YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA...
Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita. Maroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na mafuriko ya maji.ENDELEA KUSOMA HABARI...
View ArticleTAARIFA YA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUHUSU WAFUNGWA WA KITANZANIA NCHINI CHINA
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kukanusha taarifa za uvumi zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuwa kuna Watanzania wapatao 160...
View ArticleUPDATES:WAFANYABIASHARA WAFUNGA MADUKA YAO KUGOMEA MASHINE ZA TRA MKOANI RINGA
Hapa ni maeneo maarufu ( kama mtaa wa Congo wa Dar es Salaam) sana mkoani Iringa, panajulikana kama Miyomboni kukiwa kimya kutokana maduka yote ya bidhaa muhimu yamefungwa na wananchi wanaendelea...
View ArticleUPDATES: MVUA KUBWA YENYE UPEPO MKALI YAEZUA PAA LA DARASA NA NYUMBA YA...
Moja ya Madarasa yakiwa yameharibiwa vibaya na Mvua na kusababisha kuezua paa na kubomoa Darasa hilo Baadhi ya miti ikiwa imeangushwa chini na mvua kubwa iliyo sababishwa na Mvua kali iliyo ambatana...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE FEBRUARY 11, 2014
Ndugu msomaji wetu unaweza kutudhamini kwa kuweka tangazo lako kwenye blog hii ili tuendelee kukuabarisha habari mbalimbali hasa kwa hii ya vichwa vya magazeti au unaweza kutudhamini kwenye magazeti...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAANDALIZI YA BUNGE LA KATIBA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMWENYEKITI WA CCM DAR KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUSAMBAZA ARV FEKI
Habari hi inatoka kwenye gazeti la MWANANCHI toleo la leo jumanne na kiufupi linaanza kwa kusema "Alidai kuwa washtakiwa hao waliweka viambatanisho hivyo wakijaribu kuonyesha kuwa dawa hizo zilikuwa...
View ArticleMAMBO YA KUANGALIA UNAPOKUWA NA MARAFIKI WA KAZINI
Katika mazingira yoyote ya kazi, watu wana marafiki ambao huhisi kuwa zaidi ya mtu “unayefanya nae kazi tu” mahusiano haya ya kazini husaidia kazi kufanyika, lakini kuna mambo ambayo yanatakiwa...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMANNNE FEBRUARY...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKAMA NI KWELI HII NI HATARI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAFURIKO YAZIDI KUITESA UINGEREZA TAZAMA PICHA MBALIMBALI NCHINI HUMO
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIDAILY MAILPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA UFARANSA YAMCHAFUA OBAMA YADAI ANA UHUSIANO WA KIMAPENZI NA...
Kuna mgongano wa habari kati ya baadhi ya vyombo vya habari vya Ufaransa na vile vya Marekani kuhusu uhusiano uliopo kati ya Beyonce Knowles na rais wa Marekani, Barack Obama.Gazeti la Ufaransa la Le...
View ArticleHII NDIO VIDEO KUTOKA ITV NEWS (UINGEREZA) YAPEPELEZA JINSI BIASHARA YA PEMBE...
Timu ya kituo cha runinga cha Uingereza cha ITV News imefanya upepelezi katika soko la uuzaji wa pembe za ndovu nchini Tanzania kuonesha jinsi ilivyo rahisi kunununua bidhaa hiyo haramu.Akijifanya kama...
View ArticleTAHADHARI YA HALI YA HEWA MBAYA KUANZIA LEO HADI ALHAMISI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMKUU WA MKOA WA IRINGA AINGILIA KATI KWENYE MGOMO WA WAFANYABIASHARA
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Dr. Christina Ishengoma leo amezungumza na wafanya biashara wa manispaa ya Iringa katika ukumbi wa community centre uliopo eneo la Kitanzini katika manispaa ya Iringa, mada kuu...
View ArticleIFAHAMU SABABU YA BALOTELLI KULIA KAMA MTOTO KWENYE MECHI YA JUMAMOSI YA AC...
Sio mara ya kwanza kwa Mario Balotelli kulia kama mtoto uwanjani. Jumamosi hii baada ya kupumzishwa kwenye mechi ya AC Milan na Napoli ambapo Milan ilitandikwa bao 3 kwa 1, mshambuliaji huyo alionekana...
View ArticleWAZIRI WA HABARI AFUNGUA LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA...
Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akifuatilia hotuba mbalimbali katika ufunguzi wa Kongamano la 9 la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka analojia kwenda dijitali...
View ArticleWAFANYABIASHARA MKOANI DODOMA WAFUNGA MADUKA YAO WAKIGOMEA MASHINE ZA TRA
Wapita njia wakipita katika mtaa wa barabara ya sita wakishuhudia maduka yakiwa yamefungwa kwa muda usiojulikana baada yawafanyabiashara kugomea mashine za kieletroniki EFDs zilizotolewa na Mamlaka...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARY 12, 2014
Ndugu msomaji wetu tunaomba radhi kwa kutoweka magazeti kwa wakati kutokana na tatizo lililotokea kuwa nje ya uwezo wetu na pia unaweza kutudhamini kwa kuweka tangazo lako kwenye blog hii ili tuendelee...
View Article