Wapita njia wakipita katika mtaa wa barabara ya sita wakishuhudia maduka yakiwa yamefungwa kwa muda usiojulikana baada yawafanyabiashara kugomea mashine za kieletroniki EFDs zilizotolewa na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA).(Picha na John Banda)
Baadhi ya wafanyabiashara wa maduka wakifunga maduka na kupiga soga nje ya maduka yao baada ya kuyafunga kwa muda usiyojulikana wakipinga mashine ya kielektroniki EFDs iliyotolewa na TRA na kutakiwa kila mfanyabiasharakuwa nayo.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Maduka yakiwa yamefungwa katika mitaa mbalimbali ya manispaa ya Dodoma baada ya wafanyabiashara kugoma kuazia jana karibu nchi nzima kwa muda usiyojulikana huku mapendekezo yao kuwa gharama za uendeshaji mashine hizo zifanywe na serekali.