Moja ya Madarasa yakiwa yameharibiwa vibaya na Mvua na kusababisha kuezua paa na kubomoa Darasa hilo
Baadhi ya miti ikiwa imeangushwa chini na mvua kubwa iliyo sababishwa na Mvua kali iliyo ambatana na upepo mkali na radi.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Nyumba ya Mwalimu ambayo ilikuwa inajengwa na paa Juu likiwa tayari lakini , mvua kubwa imeliezua
Hili ni Paa la nyumba ya Mwalimu ambalo limeezuliwa na mvua.
Picha na Joshua
Na Kilimanjaro yetu Blog