Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

HII NDIO VIDEO KUTOKA ITV NEWS (UINGEREZA) YAPEPELEZA JINSI BIASHARA YA PEMBE ZA NDOVU INAVYOFANYIKA TANZANIA, YAWAREKODI WAUZAJI BILA WAO KUJUA

$
0
0
Timu ya kituo cha runinga cha Uingereza cha ITV News imefanya upepelezi katika soko la uuzaji wa pembe za ndovu nchini Tanzania kuonesha jinsi ilivyo rahisi kunununua bidhaa hiyo haramu.
Akijifanya kama mfanyabiashara kutoka China, mwandishi wa kituo hicho alizungumza na wafanyabiashara wa pembe hizo na kumhakikishia kuwa anaweza kupata oda yake pembe za ndovu sita ndani ya wiki mbili baada ya wao kuingia msituni na kwenda kuua tembo.
Timu ya ITV News ikiwa kwenye kibanda chenye wafanyabiashara wa pembe za ndovu ambao kwa nje wanaonekana wakifanya biashara ya vinyago na bidhaa zingine za mikono
Kamera zilizokuwa zimefichwa ziliwarekodi wauzaji hao wakiahidi kuisaidia timu hiyo kusafirisha pembe hizo kwenda nchini China.

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI



Muuzaji wa pembe za ndovu akimwambia mwandishi huyo kuwa anaweza kwenda kuongeza pembe za ndovu sita ndani ya wiki mbili kutegemea na uwepo wa fedha
 
Katika video hiyo, mfanyabiashara anasema kila kilo moja ya pembe ya ndovu inauzwa $700 ambazo ni takriban shilingi 112,700 za Tanzania.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>