Hapa ni maeneo maarufu ( kama mtaa wa Congo wa Dar es Salaam) sana mkoani Iringa, panajulikana kama Miyomboni kukiwa kimya kutokana maduka yote ya bidhaa muhimu yamefungwa na wananchi wanaendelea kupata taabu kutokana na mgomo wa kutumia mashine za kutolea risiti za TRA.(picha zote na Denis Mlowe )