Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI FEBRUARY 09, 2014

 ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI YA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA JUMAMOSI

 ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAMNA YA KUWEKA MLINGANO SAWA WA KAZI NA MAISHA MENGINE

Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, uchumi kukua na kila mmoja anajaribu kufanya kazi ili aweze kufanikiwa kibiashara na kitaaluma. Hakuna tatizo katika kufanya kazi sana lakini kulemewa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI NDIZO MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI FEBRUARY...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA ONYO URAIS 2015

Baada ya baadi ya viongozi kuanza kutangaza nia ya kugombea urais mwaka 2015 sasa serikali imetoa onyo na pia imeanza kuwabana wafanyakazi ili wasikiuke maadili ya kazi.Kamishna wa Sekretarieti ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MBUNGE WA MBEYA VIJIJINI (CCM) PAMOJA NA WENZAKE WAPIGWA NA...

MBUNGE wa Mbeya vijijini (CCM), Lackson Mwanjali pamoja na wenzake wapigwa vibaya na wafuasi wa Chadema katika harakati za uchaguzi wa udiwani kata ya Santilya Mbeya vijijini.CHANZO: JOSEPH...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATE: JAMBAZI SUGU LA MAUAJI YA WATU 8 LAKAMATWA NA JESHI LA POLISI HUKO...

Mkuu wa jeshi la polisi nchini  via Imma Matukio — Jambazi mkuu anayetuhumiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na unyang’anyi wa kutumia silaha yaliyo tokea Wilayani Tarime kuanzia 26 hadi 28.01.2014...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAMA AKABIDHI MISAADA KWA VITUO VITATU VYA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA...

 Watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakipata vinywaji wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa vitu mbalimbali na Kampuni ya Msama Promotions. Mkurugenzi wa Kituo cha Mwandaliwa Islamic Orphans,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEHENA YA MWISHO YA MABOMBA KWA AJILI YA UJENZI WA BOMBA LA GESI YAWASILI DAR

 Katibu mkuu wizaraya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (Watatu kushoto), akizungumza jambo na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Victor Mwambalaswa (Wanne kushoto), wakati kamati hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU FEBRUARY 10, 2014

 ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA PAMOJA NA MSIMAMO WA LIGI YA...

  Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UDA YAINGIZA MABASI MABASI 175

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, ambayo inamiliki Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena (wa pili kishoto), akipokea mfano wa funguo ya gari, kuashiria kupokea mabasi 175...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATIKA KATA MBALIMBALI NCHINI,...

Diwani wa Kata ya Tungi Mh Deogratius Paul MzeruMATOKEO YA JUMLA NDIYO YALIVYOLIPOTIWA KUTOKA VYANZO MBALIMBALI VYA UDIWANI.CCM YAPATA KATA 24 HUKU CHADEMA IKIPATA KATA 3MATOKEO YA UDIWANI KATA YA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO 7 YA KUFANYA KAMA UNATAKA KUPANDISHWA CHEO

Naomba nianze kwa kukujulia hali. Natumaini hujambo na unaendelea vyema na maisha.Najua mihangaiko ni mingi.Vikwazo pia haviishi.Lakini hayo ndio maisha.Isingekuwa hivyo pengine wala usingetamani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA UINGEREZA YAICHAFUA TANZANIA KWA MAUAJI YA TEMBO

“Tanzania inaua zaidi ya 11,000 ekwa mwaka kwaajili ya biashara ya pembe za ndovu na Rais wake amefumbia macho ili Prince aje kushikana naye mikono?” limeandika gazeti la Daily Mail la Uingereza.Gazeti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS::WAFANYABIASHARA MUSOMA NA DAR WAFUNGA MADUKA YAO

 Picha zote hizi zinaonesha maduka ya Kariakoo jijini Dar es Salaam. Wafanya biashara mji wa musoma wamefunga biashara zao leo ikiwemo maduka yao .pia jijini dar eneo la kariakoo wafanyabiashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KWA AJILI YA MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA...

 Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Kipanya) , Sharon Mariwa  Meneja wa Mahusiano OXFAM, Francis Bonda(Kaka Bonda) Mkurugenzi wa Usanifu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS TANZANIA USA PAGEANT, JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV

Joy Kalemera (wapili toka kulia) akiwa College Park Maryland alipowatembelea darasa la kiswahili DMV siku ya Jumamosi Feb 8, 2014. Wengine katika picha ni waratibu wa Miss Tanzania USA akiwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG NDANI YA LINAS NIGHT CLUB...

FEB 15, 2014 Itakuwa ni usiku wa aina yake kwa wakazi wa mji wa Bukoba na maeneo ya jirani, Watakapo takiwa kujua nani mkali kati ya DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG .Usiku huo hatuangalii Vivazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AROBAINI YA ZAINABU BUZOHERA DMV

Mume wa marehemu Dullah katika picha ya pamoja na mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab iliyofanyika Jumapili februari 9, 2014 kwenye mgahawa wa Tabeer...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>