FUKWE ZA TANZANIA UCHOCHORO WA DAWA ZA KULEVYA
Baada ya kikosi kazi cha Jeshi la Polisi cha Kudhibiti Uharamia Baharini kukamata kilo 201 za dawa za kulevya aina heroini zilizokuwa zikiingizwa nchini kutoka Iran. Sasa imefahamika kuwa madawa ya...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA LIGI YA UINGEREZA KWA MECHI ZILIZOCHEZWA USIKU WA JANA...
TAZAMA MSIMAMO WA LIGI HIYO KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAHAKAMA YAAMURU JENGO KARIBU NA IKULU LIPUNGUZWE UREFU
Baada ya hukumu hiyo, Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai alisema ndani ya kipindi cha miezi sita baada ya hukumu hiyo kutolewa, Kifungu cha 40,...
View ArticleTAZAMA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMATANO FEBRUARY 12, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWAFANYABIASHARA JIJINI ARUSHA WAFUNGA MADUKA YAO WAKIGOMEA MASHINE ZA TRA
Hapa ni njia panda ya kuingia stendi maduka pia yamefungwa.Wafanyabiashara wa jiji la Arusha leo nao wamefunga maduka yao ikiwa ni muendelezo wa mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima. Toka mida ya saa...
View ArticleVIONGOZI WA KINONDONI MNALIONA HILI; KITUO CHA DALADALA CHA BIAFRA CHAGEUZWA...
Uchafu ukiwa nyuma ya kituo cha Biafra na ukitizama picha vizuri kuna abiria amekaa lakini cha kusikitisha nyuma yake kuna uchafu ambao unatoa harufu mbaya na pia kuna wafanya biashara katika eneo...
View ArticleKAMERA YETU IKIWA BARABARA YA BAGAMOYO JIJINI DAR ES SALAAM
BOFYA HAPA CHINI KWA KUTIZAMA PICHA ZAIDIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleNYUMBA YATEKETEA KWA MOTO KILWA MASOKO USIKU WA KUAMKIA LEO
Na Abdulaziz Ahmeid,Kilwa Masoko Familia moja ya Bw Bernad Towele dereva wa Gari la Takukuru Wilayani Kilwa Imenusurika baada ya Nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia katika...
View ArticleHIVI UNAJUA KUWA NGUO ZA KUBANA ZINAWEZA KUSABABISHA SARATANI
“Hatari ipo zaidi kwa wanaovaa nguo hizi mara kwa mara, madhara yake hayawezi kuonekana kwa haraka zaidi, lakini kiafya kuna hatari ya kutengeneza saratani ya koo kutokana na kuzuia asidi na...
View ArticleTAZAMA TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA KWENYE HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA
Serengeti National park ndipo Chui huyu alipoonekana akinywa maji kandokando ya barabara. Hawa Duma nao walikutwa wakiwa wamekamilisha windo lao la pundamilia huko huko SerengetiENDELEA KUTIZAMA...
View ArticlePICHA YA LEO: KWA HILI ELIMU IPO KWA MFANYABIASHARA?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMOTO WATEKETEZA STOO YA CHUO CHA TAALUMA YA POLISI MOSHI
Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi wakijaribu kuzima moto na kuokoa mali zilizokuwa zikiungua katika moja ya stoo ya kuhifadhia vitu mbalimbali zikiwemo nguo baada ya kuzuka kwa moto katika...
View ArticleIDARA YA UHAMIAJI MKOA WA MBEYA INAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU 62
Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwakeIDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya inawashikilia wahamiaji Haramu 62 ambao ni Wahabeshi raia wa Ehtiopia...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS FEBRUARY 13, 2014
Ndugu msomaji wetu unaweza kutudhamini kwa kuweka tangazo lako kwenye blog hii ili tuendelee kukuabarisha habari mbalimbali hasa kwa hii ya vichwa vya magazeti au unaweza kutudhamini kwenye magazeti...
View ArticleADHABU KWA VIGOGO CCM
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.PICHA|MAKTABA Vigogo sita ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaanza kuhojiwa leo, huku wakikabiliwa na adhabu kadhaa ikiwamo ya kufungiwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL ALIWASILI JIJINI MWANZA JANA JIONI, KUFUNGUA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akishuka kwenye ndege wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza jana jioni,tayari kwa ufunguzi Kongamano la...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA PAMOJA NA MSIMAMO...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKWANINI HUKUITWA BAADA YA USAILI? YAJUE MAKOSA SABA(7) YANAYOFANYWA KWENYE...
Kama huna mtu unayemfahamu kwenye taasisi au kampuni uliyoomba kazi, ni vigumu kujua kwanini hujaitwa baada ya usaili. Hivyo kuna baadhi ya mambo ambayo yatakufanya usiitwe, na haya ni mojawapo; 1....
View ArticleBUSU LATAJWA KAMA SIRI KUU YA NDOA/UHUSIANO WENYE FURAHA
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa Marekani, siri ya ndoa/uhusiano wenye furaha ni busu na kusema ‘Nakupenda’ mara 10 kwa wiki pamoja na kwenda ‘out’ au date mara tatu kwa mwezi.Utafiti huo uliofanywa...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA KOMBE LA FA ZITAKAZCHEZWA LEO JUMAPILI FEBRUARY 16, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article