Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBINU 10 ZA JINSI YA KUTIMIZA MALENGO TUNAYOKUWA TUMEJIWEKEA

Leo naomba nianze kwa shukrani kwa wote ambao mmeniandikia barua pepe,kuchangia kwa kupitia njia ya maoni aidha kupitia hapa hapa BC au kwenye ukurasa wa Facebook na hata wale ambao mmeweza kunipigia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA HAPA UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI WAHITIMU KIDATO CHA SITA 2014

 KAOHSIUNG NA JESHI LA POLISI KWA WAHITIMU WATARAJIWA WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS FEBRUARY 06, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: POLISI WATUMIA MABOMU KUTAWANYA WANAINCHI WALIOFUNGA BARABARA MOROGORO

.MABOMU ya machozi yametumika kuwatawanya wakulima wa eneo la Melela, Mvomero mkoani Morogoro waliokuwa wamefunga barabara ya Iringa - Morogoro wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera aende...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 07, 2014

Ndugu msomaji wetu unaweza kutudhami kwa kuweka tangazo lako kwenye blog hii ili tuendelee kukuabarisha habari mbalimbali  hasa kwa hii ya vichwa vya magazeti au unaweza kutudhamini kwenye magazeti ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANAPA YAWAKAMATA WAUZAJI WA PEMBE FEKI ZA FARU

 Mmoja wa watuhumiwa akiwa na 'mzigo' wake ambao ni fekiPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA NURU KILICHOPO MJINI MBEYA KINAOMBA...

Akizungumza na  Mbeya yetu Meneja Miradi wa Kituo Nuru, Osward Poyo, alisema kituo hicho ambacho hupokea watoto kutoka ustawi wa Jamii kutokana na kuwakuta watoto katika mazingira hatarishi ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MALINZI ATIMIZI SIKU 100 TFF, AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akifafanua jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana, kuhusu siku 100  tangu walipoingia madarakani. Kushoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA SHERIA NA KATIBA ANGELLAH KAIRUKI AZINDUA KAMPENI CARE FOR ME!

 Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo. Kampeni hizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII LULU KUJIBU MASHTAKA YA KUUA BILA KUKUSUDIA YA MAREHEMU KANUMBA...

Msanii wa filamu Elizabeth Michael Kimemeta (18), maarufu kama Lulu (pichani) anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya bila kukusudia ya msanii mwenzake Steven Kanumba (28), anatarajia kujibu mashitaka yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOCHI 2014, MASHINDO YA OLIMPIKI MAKUBWA NA YA GHARAMA YAMEGHARIMU ZAIDI YA...

Ripoti nyingi za vyombo vya habari kuhusu mashindano ya Masika ya Olimpiki 2014 huko Sochi, Urusi, zinaangazia zaidi gharama zilizotumika zilizovunja rekodi katika idadi ya wanariadha wanaoshiriki,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA AKIL FLEVASON - NO MONEY NO HONEY

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTU MMOJA AKUTWA AMEJINYONGA KWENYE UFUKWE WA SPICE HOTEL MJINI BUKOBA

Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Bahati maarufu kama muuzaji wa mifuko ya plastiki maeneo ya stand kuu ya mabasi Bukoba amekutwa kajinyonga juu ya mti  maeneo ya ufukwe wa Spice Motel majira...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI FEBRUARY 08, 2014

Udhamini ni jambo la msingi kwetu kwani tunaamini wewe msomaji ukiweka tangazo lako hapa unaweza kutusupport kuendelea kutoa habari na pia unaweza kulike ukurasa wetu wa facebook kwa kubofya hii link...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI 08, 2014

ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: MAJINA YA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA YATANGAZWA YASOME YOTE...

Wanahabari wakimsikiliza  Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhe.  Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba  yakitangazwa jioni hii katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JINSI UVIVU UNAVYOWEZA KUHARIBU KAZI YAKO

 Kuna mambo huwa tunajaribu kuyafanya kazini kwa kujaribu kupuuzia au kufikiri kwamba mtu mwingine atafanya. Ni moja ya vitu nilivyokutana navyo leo nilipokuwa nikiongea na mfanyakazi mmoja (Fatuma) ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH. LOWASSA HAKANUSHA KUWA KURASA ZA MITANDAO YA KIJAMII

Kumekuwa na kurasa (accounts) mbalimbali zenye jina la Mh. Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mitandao ya kijamii Kama vile Facebook,Twitter,Instagram...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOMA YA ‘KITIMOTO’ YALETA HOFU MKOANI MBEYA

 Nyama ya nguruwe. Ugonjwa wa homa ya nguruwe, umeibuka tena katika Jiji la Mbeya na kuua nguruwe 166 wenye thamani ya Sh33 milioni hadi ilipofika juzi. Picha na Maktaba Ugonjwa wa homa ya nguruwe,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOMOROZINE YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 7-0 KUTOKA KWA YANGA

Ubao wa Matokeo. Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,Hamis Kiiza akiipachikia timu yake bao la nne kati ya saba yaliyotiwa kimiani mpaka sasa wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika uliochezwa...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>