FEB 15, 2014 Itakuwa ni usiku wa aina yake kwa wakazi wa mji wa Bukoba na maeneo ya jirani, Watakapo takiwa kujua nani mkali kati ya DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG .Usiku huo hatuangalii Vivazi au nani anamiliki nini,ama yupi ni hot zaidi ya mwenzake,tunaangalia kitu kimoja tu,Nani mkali wa kuimba na kucheza Jukwaani?
↧