Mume wa marehemu Dullah katika picha ya pamoja na mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab iliyofanyika Jumapili februari 9, 2014 kwenye mgahawa wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwaongoza Watanzania kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa wetu Zainab Buzohera aliyefariki Jan 4, 2014 kwenye hosipitali ya Doctor's Community iliyopo Lanham, Maryland.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakijumuika na familia ya wafiwa kwenye kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera kilichofanyika Jumapili Februari 9, 2014 katika mgahawa wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakihudhuria kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera iliyofanyika Jumapili Februari 9, 2014 katika mgahawa wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland maeneo ya Langley Park.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakiwa kwenye katikati ya kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera iliyofanyika Jumapili Februari 9, 2014.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakijumuika pamoja na familia ya marehemu kwenye kiosomo cha arobaini ya Zainab Buzohera kilichofanyika Jumapili Februari 9, 2014.
Kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera kikiendelea.
Kisomo cha arobaini ya Zainab Buzohera kilichafanyika siku ya Jumapili Februari 9, 2014 kikiendelea.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakufuatilia kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera iliyofanyika siku ya Jumapili Februari 9, 2014.
Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog