Picha zote hizi zinaonesha maduka ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Wafanya biashara mji wa musoma wamefunga biashara zao leo ikiwemo maduka yao .pia jijini dar eneo la kariakoo wafanyabiashara wamefunga maduka yao na hakuna biashara inayoendelea.Chanzo cha kufungwa kwa maduka hayo inasemekana ni kuendelea kupinga matumizi ya mashine zaTRA.
PAMOJA BLOG