TUKIO KATIKA PICHA: PANTONI YA MV. MAGOGONI YASHINDWA KUTIA NANGA KATIKA...
Baadhi ya Abiria katika Pantoni ya Mv. Magogoni wakiwa wanatazama jinsi kivuko hicho kinavyo pepea pepea Abiria wakiwa wamevaa mavazi maalumu ya kujiokoa na kujiweka sawa kama kungetokea hatari yoyote...
View ArticleKAMERA YETU LEO WAKATI TUNAELEKEA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM
Sasa hili gari limeharibikia katikati ya barabara na hakuna utaratibu wowote wa kulitoa barabarani aliwezi kuleta ajari au foleni zisizo za msingi Hili ni foleni la Ubungo tulilokutana nalo leoENDELEA...
View ArticleUPDATES: KIKONGWE AUA KWA RISASI NAYE AULIWA NA WANANCHI KWA UGOMVI WA ARDHI...
Migogoro ya kugombea ardhi imeendelea kusababisha vifo baada kikomgwe mweye umri wa miaka 87 mkazi wa kijiji cha Kahama wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga kumiuua kwa kumpiga na risasi ya kichwa mkazi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS DECEMBER 19, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWABUNGE WAUMBUANA HADHARANI
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe.PICHA|MAKTABADodoma. Wabunge jana waliumbuana kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma huku Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe akituhumiwa kuagiza...
View ArticleYAHOO MOVIES YAITAJA FILAMU ALIYOIGIZA MKENYA LUPITA NYONG’O KAMA FILAMU BORA...
LupitaMtandao wa Yahoo umetoa orodha yake ya filamu 25 bora zaidi mwaka 2013. Katika orodha hiyo, nafasi ya kwanza imekamatwa, na ’12 Years a Slave’ filamu ya utumwa ambayo pamoja na waigizaji...
View ArticleSERIKALI YAFAFANUA KUCHELEWA KWA AJIRA ZA WALIMU NCHINI
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo.PICHA|MAKTABA Dodoma/Morogoro. Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu walimu waliomaliza masomo yao na kutopangiwa vituo vya kazi kuwa muda wa...
View ArticlePOLISI WAUA RAIA WATATU KWA RISASI
Walikwenda kuwatoa wenzao waliokamatwa kwa mauaji Wenzao wachoma kituo, gari la polisi, pikipiki, majadala ya kesiWatu watatu wameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Jeshi la Polisi wa Kituo cha...
View ArticleUPDATES: KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Bw. Emanuel Mteming'ombe. Bw. Mteming'ombeKATIBU wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa Bw Emanuel Mteming'ombe amefariki dunia katika hospital ya...
View ArticleHAPA VIPI?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWATU WANNE WASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI MOSHI
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Koka Moita akionesha bunduki aina ya Shotgun waliyokutwa nao watu hao. Vifaa mbalimbali vya kubomolea.ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Afisa...
View ArticleMKALIMANI FAKE WA HAFLA YA KUMBUKUMBU YA MANDELA ALAZWA KWENYE HOSPITALI YA...
Thamsanqa JantjieMkalimani fake wa hafla ya kumbukumbu ya Mandela iliyofanyika December 10, Thamsanqa Jantjie amelazwa kwenye hospitali ya magonjwa ya akili ya Sterkfontein (Psychiatric Hospital).Kwa...
View ArticleRIPOTI: MWENDO KASI NDIO ULIOWAUA PAUL WALKER NA RAFIKI YAKE
Kifo cha Paul Walker na rafiki yake Roger Rodas hakikusababishwa na tatizo la kiufundi kwenye gari walililokuwa wakiendesha Porsche Carrera GT, kwa mujibu wa wachunguzi. Badala yake, ajali hiyo...
View ArticleALIYEKUWA KATIBU WA CCM MKOANI IRINGA MAREHEMU EMANUEL MTEMING'OMBE AAGWA...
Waombolezaji ndugu na jamaa wakitoa jeneza na aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Hospital ya rufaa ya mkoa wa Iringa leo.Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani kwake Gangilonga Iringa leo kwa...
View ArticleRAJA CASABLANCA YATINGA FAINALI KLABU BINGWA YA DUNIA, WACHEZAJI WAMVUA...
Mwanasoka Bora wa Dunia wa Fifa wa zamani, Ronaldonho Gaucho anayekipiga na Atletico Mineiro ya Brazil (katikati), akifurahia kuona wachezaji wa Raja Casablanca ya Morocco wakimvua viatu vyake baada ya...
View ArticleMUME AMCHINJA MKEWE KAMA KUKU WILAYANI KAHAMA.
MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Kwezi Seleli (20) mkazi wa kijiji cha Kalama,kata ya Uyogo wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuwawa kwa kuchinjwa sehemu za shingoni na mume wake...
View ArticleUPDATES: BASI LA HOOD LAPINDUKA MVOMERO MKOANI MOROGORO
Kuna aliyebanwa hapa zinafanyika jitihada za kuchimba kumwokoa. Inasikitisha na kutia matumaini kumwona aliyebanwa kuanzia kiuno kwenda miguuni naye anajitahidi kuchimba kwa mikonoBasi la Kampuni ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA DECEMBER 20, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleJACQUELINE WOLPER AMSHUTUMU ZAMARADI MKETEMA WA CLOUDS, KWA KUMUWEKA HEWANI...
Hali ya maelewano kati ya muigizaji wa bongo movie Jacqueline Wolper na mtangazaji wa kipindi cha ‘Take One’ cha Clouds TV na Clouds FM, Zamaradi Mketema inaonekana kuwa si nzuri baada ya Wolper...
View ArticleSPIKA MAKINDA: MBUNGE ALIYETAFUNA POSHO AREJESHE
Spika wa Bunge,Anne Makinda.PICHA|MAKTABA Dodoma.Spika wa Bunge, Anne Makinda jana alipigilia msumari sakata la wabunge kuchukua posho bila kuzifanyia kazi stahiki kwa kuwaamuru wazirudishe.Spika...
View Article