RUBANI WA NDEGE YA ETHIOPIA ILIYOTUA ARUSHA KWA DHARURA ALIUCHANGANYA UWANJA...
Rubani wa ndege ya shirika la Ethiopia Airlines iliyotua kwa dharura kwenye uwanja wa ndege wa Arusha, alitua kwenye uwanja huo baada ya kudhania ni ule wa Kilimanjaro International Airport (KIA),...
View ArticleUSAFIRI WA MABASI YA MIKOANI UBUNGO BALAA
“Ni kwamba abiria wengi na mabasi ni machache, lakini hakuna mgomo baridi,” PICHA|MAKTABA Dar es Salaam. Hali ya usafiri kwenye kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT)...
View ArticleBREAKING NEWS: WANANCHI WENYE HASIRA WACHINJA HADI KUUA WATOTO WAWILI WA...
Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili, mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA SIKU MAMA VICKY NSILO SWAI ALIPOMRUDISHIA MZEE MANDELA VIATU...
Rais wa kwanza Mzalendo na Mpigania Uhuru wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela ‘Madiba’ akiwa ameshikilia viatu vyake ambavyo aliviacha nyumbani kwa Mzee Nsilo Swai alipoingia Tanzania kwa mara ya...
View ArticleTAZAMA SAFU ZA MILIMA YA LIVINGSTONE PAMOJA NA MIAMBA YA AINA YAKE PEMBEZONI...
Miamba pembezoni mwa ziwa nyasa Safu ya milima ya Livingstone iliyoko mwambao wa ziwa nyasaENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFY HAPA CHINI Miamba iliyoko kata ya Lumbila ambako kihistoria ni wilaya...
View ArticleLUIS SUAREZ ASAINI MKATABA WA MUDA MREFU KUICHEZEA LIVERPOOL
Luis Suarez (26) ambaye ni raia wa Uruguay akisaini mkataba wa kuichezea Liverpool kwa mkataba wa muda mrefu leo kwenye clabu ya timu hiyo yenye makazi yake Liverpool. Pia mchezaji huyo kaishaifungia...
View ArticleNDUGU WA MTANZANIA ALIYEFIA AFRIKA KUSINI WANATAFUTWA
Watanzania waishio Johannesburg wanawatafuta ndugu, rafiki au jamaa wa Shiraz Abeid Juma (pichani), ambaye sasa ni marehemu. Shiraz alifariki wiki hii na kuzikwa siku ya Jumanne huko Johannesburg,...
View ArticleUPDATES : WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII KAGASHEKI ATANGAZA KUJIUZULU
Wakati waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dr. Emmanuel Nchimbi alikuwa wa pili na wa Ulinzi akiwa wa kwanza kwa kuitwa na spika kuwa wa kwanza kuzungumza lakini ikaonekana wameingia mitini na kuitwa kwa...
View ArticleBREAKING NEWS: WAZIRI MKUU PINDA AMESEMA KWAMBA RAIS KIKWETE AMEKUBALI...
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amesema kwamba Rais Kikwete amekubalikutengua nyadhifa za mawaziri wanne kufuatia ripoti ya 'Operesheni Tokomeza' iliyotolewa mapema leo bungeni. Wazirimkuu...
View ArticleHII NDIYO RIPOTI ILIYOWANG'OA MAWAZIRI WANNE
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli akiwasilisha taarifa kuhusu tathmini ya matatizo yaliyotokana na Operesheni Tokomeza Ujangili, bungeni Dodoma...
View ArticleAOWA WANAFUNZI MTU NA DADA YAKE
Mkuu wa Dawati la Jinsia Nkasi, CPL-Anna Kisimba (kushoto) akipitia kitabu cha orodha ya matukio ya dawati hilo. Kulia ni msaidizi wake. Ofisa Ustawi wa Jamii wa Halmashauri wa Wilaya ya Nkasi, Oscar...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI DECEMBER...
ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA SIMBA WAKIWA JUU YA MTI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI MOROGORO
Simba wawili majike wakiwa wametulia wakitazama kwa umakini ni sehemu gani wangeweza kwenda kufanya mawindo yao .Imezoeleka kuona Simba pekee ambao wanaweza kupanda juu ya Miti ni kutoka hifadhi ya...
View ArticleWABUNGE WA CCM WAMGOMEA WAZIRI MKUU PINDA
Dodoma. Wabunge wa CCM jana mchana walimgomea Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge (Party Cocas) ya chama hicho, Mizengo Pinda na kushinikiza mawaziri watatu ambao wizara zao zimetajwa kushindwa kusimamia...
View ArticleHAPA VIPI?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMUME WA WAKE 12 AKIRI KUGOMEA TENDO LA NDOA
BAADA ya kujitwalia wake 12 na kuzaa nao zaidi ya watoto 50, wengine akidai kutowafahamu kwa majina, mzee mmoja wa hapa, amedai kwa sasa hana tena mpango wa kuoa, akisema aliooa wanatosha, kwani nao...
View ArticlePICHA YA LEO: KUMBE .........!!!!
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSENGI (ELEPHANT SHREW) MNYAMA ANAYEPATIKANA TANZANIA PEKE
SengiIlikuwa hadi mwaka 2005 pale wanasayansi walipogundua mnyama aitwaye Sengi (wa familia ya ‘elephant shrew’ anayepatikana Tanzania peke yake Mara ya kwanza baada ya kupatikana kwenye camera, mnyama...
View ArticleDAKTARI BINGWA WA UPASUAJI ALIYEPOOZA VIUNGO
Pichani Dk Ted Rummel akiwa katika chumba cha upasuaji akiwahudumia wagonjwa Picha na AFP Watu wengi hususani katika jamii za Kiafrika wamekuwa na mtazamo kuwa mtu mwenye ulemavu hawezi kufanya kitu...
View ArticleHAYA NI BAADHI YA MAGEREZA 10 HATARI DUNIA
1.Gereza la Diyarbakır ili ni gereza linalopatikana kusuni mashariki mwa nchi ya Uturuki na gereza hili lilimalizika kujengwa September 12, 1980 na hili ndilo gereza namba moja duniani kwa kutisha 2....
View Article