SUAREZ APEWA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA
Mchezaji Bora wa Mwaka, Luis Suarez akisherehekea tuzo yake ya Shirikisho ya Mashabiki wa Soka, akiwa na mkewe Sofia.Suarez akisherehekea tuzo yake Uwanja wa Emirates.MSHAMBULIAJI Luis Suarez ametajwa...
View ArticleMWANAMKE MJAMZITO WA INDIA APATA ‘MISCARRIAGE’ NA KUPOTEZA WATOTO 10 KWA...
Mwanamke aliyekuwa mjamzito wa watoto kumi nchini India ameripotiwa kupata ‘miscarriage’ (kuharibika kwa mimba) na kupoteza watoto wote kumi kwa usiku mmoja wiki hii.Kwa mujibu wa mtandao wa Indian...
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMBUNGE WA VITI MAALUM AMCHEFUA MISS TZ 2012, BRIGGITE, ADAI HAFAI...
Miss World Tanzania 2012, Brigitte Alfred hajui Kiswahili? Well, tuliowahi kukaa naye kidogo tunaweza kumtetea kuwa anakijua haswaa, sema hupendelea zaidi kuongea kimombo. Pengine ndio maana mbunge wa...
View ArticleBREAKING NEWS:WANAJESHI 66 WAUAWA SUDAN KUSINI
Afisa mkuu msimamizi wa hospitali ya kijeshi ya Juba, Brigedia Gen Dr Ajak Bullen, ameambia shirika la redio la Miraya mjini Juba kuwa wanajeshi 66 wameuawa katika mapigano ya siku mbili.Watafanyiwa...
View ArticleHAPA VIPI?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleBREAKING NEWS: WATU WATANO WAHOFIWA KUFA BAADA YA GARI LAO KUSOMBWA NA MAJI
Watu watano wanahofiwa kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Land Rover kusombwa na maji katika daraja kwenye Kijiji cha Dolomoni, Iramba Mkoani Singida.Pata habari motomoto kupitia...
View ArticleSASA UNAWEZA KUPATA KITABU CHA SIMULIZI YA MZEE MADIBA TOKA ANAZALIWA MPAKA...
Ndugu zangu,Juzi Jumapili tumemzika Mzee Wetu Madiba. Na leo hii nimekamilisha kazi ya kukusanya simulizi zake na kuzifanya kuwa kijitabu kidogo cha kurasa 80. Ni simulizi inayotokana, kwa kiasi...
View ArticleTAZAMA VIDEO YA FAMILIA INAYOISHI NA CHUI NYUMBANI KWAO NCHINI BRAZIL
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO DECEMBER 18, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleAVUNJIKA MGUU BAADA YA KUGONGWA NA KIBERENGE
Mabaki ya damu yakiwa yametapakaa kwenye Kiberenge.Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja akiwa kwenye pikipiki yake jana mchana maeneo ya Banda la Ngozi, Ilala jijini Dar es...
View ArticleMANDELA NDIO JINA LILILOTAFUTWA ZAIDI KWENYE GOOGLE MWAKA 2013 DUNIANI
Nelson Mandela ameongoza orodha ya majina yaliyotafutwa zaidi kwenye mtandao wa Google mwaka 2013. Orodha hiyo ya Google Zeitgeist imetoka jana Jumanne.“Si jambo la kushangaza kuwa trending search...
View ArticleUGOMVI FAMILIA YA MANDELA WAFUFUKA
SIKU mbili baada ya maziko ya Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, ugomvi kati ya watoto na wajukuu wa shujaa huyo wa vita dhidi ya ubaguzi wa rangi duniani, umeibuka upya.Inadaiwa siku...
View ArticleDAR EXPRESS LAPINDUKA DEREVA NA KONDA WANUSURIKA KIFO MAENEO YA KIJIJI CHA...
BASI lenye namba ya usajili T848 ASZ lilipinduka baada ya kuacha barabara na kuingia vichakani wakati lilipokuwa likivutwa baada ya kuharibika, Ajali hii ilitokea katika kijiji chaManga Mkoani Tanga...
View ArticleWAHAMIAJI HARAMU 11 WAKAMATWA ROMBO
Kamishna wa uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johanes Msumule akizungumza na wanahabari ofisini kwake baada ya kukamatwa kwa wahamiaji haramu 11 wilayani Rombo Wahamiaji haramu waliokamatwa wilayani Rombo...
View ArticleMADAKTARI WALAZIMIKA KUUNGANISHA MKONO WA MCHINA NA KIFUNDO CHA MGUU ILI...
Mwanaume raia wa China ambaye alipata ajali ya kukatwa kabisa mkono wake wa kulia na mashine ya kiwandani, alilazimika kuunganishwa mkono huo na kifundo cha cha mguu wake (ankle) kwa muda wa mwezi...
View ArticleMAWAZIRI MATUMBO JOTO
Dodoma.Kamati ya Bunge ya kuchunguza athari za Operesheni Tokomeza Ujangili inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake leo, ambayo inaelezwa kuwa imependekeza kuchukuliwa kwa hatua dhidi ya vigogo kadhaa wa...
View ArticleBREAKING NEWS:WATU 200 WALIOKUWA WAKISAFIRI KWA NDEGE YA ETHIOPIAN AIRLINE...
Habari iliyoifikia hivi punde toka jijini Arusha, inaeleza kuwa Ndege ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) mchana huu imeshindwa kutua kwenye Uwanja wa...
View ArticleWATU WAWILI WANAODHANIWA NI MAJAMBAZI WAULIWA KWENYE KIJIJI CHA MANGA, MKOANI...
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida,SACP Geofrey Kamwela, akionyesha bunduki ya kijeshi aina ya SMG no.34555 iliyokuwa ikitumiwa na watu wawili wanaodhaniwa kuwa majamabazi katika kijiji cha Manga...
View ArticleHAPA KAZI IPO MPAKA KONDA KAAMUA KUKAA HUKU UJUE NDANI HAKUNA SEHEMU HATA YA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article