Sasa hili gari limeharibikia katikati ya barabara na hakuna utaratibu wowote wa kulitoa barabarani aliwezi kuleta ajari au foleni zisizo za msingi
Hili ni foleni la Ubungo tulilokutana nalo leo
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Kumbe foleni ilisababishwa na haya magari yaliyogongana eneo la Ubungo mataa
Hata huku barabara ya Sam Nujoma hali ilikuwa vilevile maana kila mtu anataka kuwa wa kwanza
Sasa hapa unaweza kujiuliza wako barabara gani maana hawa ndio wanaosababisha foleni