Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARSHA YA SANAA ZA SARAKASI NA MUZIKI WA SAMBA REGE KUFANYIKA MPAKA JULAI 4,...

Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Baba watoto Center Bw.Mgunga Mwamnyenyelwa kilichopo mburahati kwa jongo wilaya ya kinondoni Dar es salaamMeneja mradi wa Fit For Life Habiba IssaENDELEA KUSOMA HABARI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INNOCENT NGANYAGWA KUTUMBUIZA TAMASHA LA ZIFF 2014 USIKU HUU NDANI YA UKUMBI...

Mwanamuziki Mkongwe wa Rege nchini, Innocent Nganyagwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na show yake kwenye tamasha la ZIFF 2014 usiku wa leo ndani ya ukumbi wa Mambo Club...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA SISHA

 Uvitaji wa Shisha ni sawa na uvutaji wa sigara kulingana na madaktariWaziri wa afya nchini Tanzania, amesema kuwa Tanzania inapanga kutathmini sheria ya sasa kuhusu matumizi ya Sisha ili kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGOMA ZA ‘BUNYEROBUNYERO’ ZAPIGWA STOP

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imesema itawachukulia hatua za kisheria wamiliki wa klabu za usiku zinazokiuka maadili kwa kuruhusu klabu zao kupiga ngoma ya ‘bunyerobunyero’.Ngoma hiyo iliibuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS JUNE 19, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHOLANZI IMEKUWA TIMU YA KWANZA KUFUZU KWENYE 16 BORA

Timu ya taifa ya Uholanzi imekuwa timu ya kwanza kufuzu mkondo wa pili wa kombe la dunia baada ya kuishinda Australia mabao 3-2 katika mchuano wa kusisimua wa kombe la dunia huko Rio de Janeiro, siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: SOKO LA MCHIKICHINI(KARUME) LAANZA KUJENGWA NA WAFANYABIASHARA

Sehemu ya wafanyakazi wa wakiendelea na ujenzi wa soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam.Wafanyabiashara waanza kujenga vibanda Sokoni Mchikichini baada ya kutembelewa na viongozi mbalimbali wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: SEHEMU YA BARABARA YA UBUNGO MATAA DAR ES SALAAM KUFUNGWA...

KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag International GmbH inayojenga barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) imetangaza mabadiliko ya muda katika eneo la Ubungo jijini Dar es salaam kuanzia kesho na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NTV UGANDA YAPIGWA MARUFUKU KUCOVER HABARI ZA RAIS BAADA YA KUMUONESHA RAIS...

 Serikali ya Uganda Jumatano wiki hii imeipiga marufuku moja ya TV za nchi hiyo kutokucover matukio yoyote ya Rais baada ya kuonesha kwenye TV picha za Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni akiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO YA DINI YA AMANI YA BWANA KUTOKA KWA KIWEWE NA...

Leo siku ya Alhamis June 19, 2014,  Robert Augustino "Kiwewe" pamoja na Tumaini Martin Mwakibibi "Matumaini" wametoa nyimbo ya pili ya dini ambayo inaitwa "Amani ya Bwana" ambayo ni nyimbo ya pili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA NGALAWA YANOGESHA TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR

Baadhi ya washiriki wa mashindano ya resi za Ngalawa wakijiandaa tayari kwa kuanza mashindano hayo katika shamra shamra za tamasha la 17 la ZIFF 2014 linaloendelea visiwani Zanzibar.(Picha na Zainul...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUKIO ZIMA KATIKA PICHA LA AJALI YA BASI LA NEW FORCE , WATEMBEA KWA MIGUU...

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro Muda akiwa katika eneo la Ajali Jana  Hivi Ndivyo basi la New Force linavyo onekana kwa Mbele Baada ya kupata ajaliENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANDISHI WA HABARI MKOANI DODOMA WAPIGWA MSASA WA NAMNA YA KUANDIKA HABARI...

Ofisa Makazi (Hifadhi) wa Shirika la kimataifa la wakimbizi (UNHCR) Nicholaus Gichubiri akisisitiza jambo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mkoa wa Dodoma walioitwa kupewa mafunzo ya jinsi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: DARAJA LA CHUMA LINALOUNGANISHA SITAKISHARI NA TABATA SEGEREA...

 Kuna lori lililokuwa limebeba kontena limejaribu kupita daraja linalounganisha Ukonga (Banana)- Tabata Segerea- Kinyerezi na Mbezi  limeharibika kabisa kwa kutumbukia na lori , kwa sasa foleni ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA JUNE 20, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MAHAKAMA YAWAVUA NYADHIFA MADIWANI SITA WA BUKOBA

Hizi ni taarifa za hivi punde.Ni kutokana na sakata linaloendelea bukoba kuhusiana na mgogoro katika manispaa hiyo.Madiwani hao kutoka vyama tofauti, walifunguliwa kesi mahakamani na Diwani wa Kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKUBALIKA NA MASHABIKI, LEO KUZINDUA WIMBO WAO MPYA...

Vijana machachari wa Skylight Band Kutoka kushoto Donode, Digna Mbepera, Sony Masamba na Mary Lucos wakitoa Burudani kwa mashabiki wao ndani ya Thai Village,USikose Leo kutakuwa pia na Uzinduzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREKANI YAIWEKEA VIKWAZO UGANDA KWA KUPITISHA SHERIA YA KUPINGA USHOGA

Baada ya Uganda kupitisha sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja mwezi Ferbruari mwaka huu, serikali ya Marekani imeiwekea vikwazo nchi hiyo kwa madai kuwa inakiuka haki za binadamu.Taarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA WA ILALA MH JERRY SILAA ATEMBELEA NA KUKAGUA BARABARA YA TABATA-ST...

 Meya Wa Manispaa ya Ilala Mh Jery Silaa Wa Kwanza kulia  akifika eneo la Tabata St Marrys kukagua kipande cha barabara huyo ambacho kimezua mgogoro baina na Manispaa na Shirika la maji safi na salama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE WA TTB, TANAPA UKIONGOZWA NA MHE. ABDULKARIM SHAH WAKARIBISHWA CHAKULA...

 Mhe. Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafya kwa tiketi ya CCM akiongozana na ujumbe wake wa Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks (TANAPA) walipowasili Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>