Leo siku ya Alhamis June 19, 2014, Robert Augustino "Kiwewe" pamoja na Tumaini Martin Mwakibibi "Matumaini" wametoa nyimbo ya pili ya dini ambayo inaitwa "Amani ya Bwana" ambayo ni nyimbo ya pili kwenye album yao. Nyimbo zilizoko kwenye album yao mpya hiyo ni sita na mpaka sasa nyimbo mbili ndizo zilizosikika hewani ambayo ni "Amani ya Bwana" na "Nimepona".Nyimbo ya "Nimepoana" ndio iliyoshika jina la Album hiyo mpya. Kikubwa ni kuweza kununua album ili kuweza kuwainua kwenye mziki huu wa kumwimbia mungu. Kama unaitaji cd ya Album ya nyimbo hizi unaweza kuwasiliana kwa namba hizi 0656127999 na 0752268787.
↧