Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: SOKO LA MCHIKICHINI(KARUME) LAANZA KUJENGWA NA WAFANYABIASHARA

$
0
0
Sehemu ya wafanyakazi wa wakiendelea na ujenzi wa soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam.
Wafanyabiashara waanza kujenga vibanda Sokoni Mchikichini baada ya kutembelewa na viongozi mbalimbali wa jijini, Dar es Salaam na kuwahakikishia kwamba, Soko hilo halitahamishwa.

ENDELEA KUTIZAMA PICHA KWA KUBOFYA HAPA CHINI



 PICHA NA KAJUNASON BLOG

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>