TIMES FM YACHANGIA CHAMA CHA ALBINO WILAYA YA TEMEKE SHILINGI MILIONI TATU
100.5 Times Fm Radio imetoa kiasi cha shilingi milioni tatu kwa albino wa wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kama sehemu ya mchango wao kwa jamii hiyo yenye ulemavu wa ngozi inayokumbwa na changamoto...
View ArticleAFLEWO KUFANYA MKESHA KWA AJILI YA KUIOMBEA TANZANIA NA AFRIKA
Mchungaji Abel Orgenes (wa kwanza kulia) wa Kanisa la International Evangelism akiongea machache na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitangaza mkesha utakaofanywa na Huduma ya AFLEWO ambao...
View ArticleNI MWAKA MMOJA SASA UMEPITA TOKA MSANII LANGA AFARIKI DUNIA
Ni mwaka mmoja sasa tangu mkali wa Hip Hop Langa afariki dunia kutokana na kuugua.Daima tunakukumbuka kwa mistari yako mahiri na mchango wako wa hali na mali katika kuinua muziki wetu na sanaa kwa...
View ArticleSOMA HAPA HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB),...
MHESHIMIWA SAADA MKUYA SALUM (MB), AKIWASILI BUNGENI MJINI DODOMA KUWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2014/15 LEO. Pata habari motomoto kupitia...
View ArticleUPDATES: NYUMBA YA BALOZI WA MSUMBIJI DAR ES SALAAM YAWAKA MOTO USIKU WA...
Habari zilizotufikia ni kwamba nyumba ya balozi wa Msumbiji iliyoko maeneno ya Masaki imewaka moto. Habari zinaendelea kutupasha kwamba fire wamefika lakini maji yalikuwa kidogo. Habari zaidi zitawajia...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNE 14, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleTUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI: ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU
Mama Mzazi wa Kijina Mwanaidi Bi Jina akimpatia uji mtoto wake wakiwa katika wodi ya hospitali ya mnazi mmoja wakiendelea na Tiba baada ya kuhamishiwa hapo kutoka hospitali ya jeshi bububu, ili...
View ArticleSPAIN YAPOKEA KICHAPO KIKALI KUTOKA KWA UHOLANZI, TAZAMA HAPA NA MATOKEO MENGINE
Michuano ya kombe la dunia imezidi kushika kasi kwa michezo itatu iliyopigwa usiku wa kuamkia leo. Mchezo wa kwanza ulikuwa kati ya wawakilishi wa Afrika Cameroon dhidi ya Mexico, na wamexico...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNE 16 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPAPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAARIFA YA MEYA WA ILALA JERY SILAA KUHUSU AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK KUWA HACKED
Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya facebook ime-hackiwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri.Tafadhali puuzia...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNE 17, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMCHANGO WA MAANDISHI WA MH. ZITTO KABWE KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA...
Mh. Zitto Kabwe.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: AL-SHABAB WATUHUMIWA KUUA TAKRIBAN WATU 48 NCHINI KENYA
Polisi nchini kenya wanasema kuwa watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabaab wamewaua takriban watu 48 kwenye mji wa mpeketoni uliopo karibu na kisiwa cha Lamu.Watu wanne waliokuwa na silaha...
View ArticleUSIKU WA WANAWAKE WA TANZANIA WAFANA, BALOZI AWAFAGILIA TANO LADIES
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili kwenye ukumbi wa Martin's Crosswinds uliopo Greenbelt, Maryland kwenye usiku wa Wanawake wa Tanzania ulioratibiwa na kikundi cha...
View ArticleSAUTI SOL WATIKISA TAMASHA LA ZIFF 2014
Wanamuziki wa Bendi ya Sauti Sol kutoka nchini Kenya likiwasha moto kwenye tamasha la ZIFF 2014 usiku wa kuamkia leo visiwani Zanzibar. Pichani ni Bien Baraza (vocalist) na Willis Austin Chimano...
View ArticleMPYAA: NAFASI ZA WANAFUNZI KUJIUNGA KIDATO CHA TANO ZATANGAZWA
Nafasi za kujiunga na kidato cha nne mwaka 2014 kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dare s salaam na naibu waziri wa TAMISEMI Bw KHASIM MAJALIWA ambapo zaidi ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNE 18, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleBOMU LAOKOTWA MAKABURINI MKOANI MTWARA
Hili ni bomu ambalo jioni ya June 16, 2014 liliokotwa na watoto waliokua wakicheza karibu na eneo la makaburi kwenye kijiji cha Mdui kata ya Mawala wilaya ya Mtwara vijijini kwenye mkoa wa...
View ArticleTAZAMA HAPA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE KWENYE USAILI AWAMU YA PILI UHAMIAJI
KUANGALIAMAJINA BONYEZAHAPAPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWOMEN WITH ATTITUDE:SINEMA YENYE LADHA YA SHUGHULI INAYOCHOCHEA HAMASA NA...
Mtanzania mmoja kati ya wawili walioshirikishwa katika filamu ya “Woman with Altitude” iliyoandaliwa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Ashura Kayupayupa (kulia), akizungumza na waandishi...
View Article