Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKUBALIKA NA MASHABIKI, LEO KUZINDUA WIMBO WAO MPYA "PASUA TWENDE" NDANI YAK IOTA CHA THAI VILLAGE

$
0
0
Vijana machachari wa Skylight Band Kutoka kushoto Donode, Digna Mbepera, Sony Masamba na Mary Lucos wakitoa Burudani kwa mashabiki wao ndani ya Thai Village,USikose Leo kutakuwa pia na Uzinduzi wa Wimbo wao mpya PASUA TWENDE Itakuwa hapatoshiii.
Weweeee Usicheze na Sony masamba(katikati)akiyarudi mauno safi kabisaaaa kuwapa burudani wapenzi wa Skylight ndani ya Thai Village.

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Hapo hapooo Taratibuuuu weweee Sam Mapenzi akiyarudi mastep ndani ya Thai Village Sony Masamba akifuahiii na Mashabiki Wake.
Sony Masamba (Mutoto ya kongo)akiporomosha Vocal Kali Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha maraha Thai Village.
Kijana mdogo lakini mwenye Vocal kali : Hashim Donode akiimba kwa hisia kali kabisaaaa Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha maraha Thai village Sogea leo upate nyimboo kali pamoja na Uzinduzi wa Wimbo wao mpya.
Digna Mbepera (katikati)akifurahiii kwa staili kaliii za kuzungusha zungusha kwenye steji.
Hatariiiii hebu yaone majembe ya Skylight Band wakiongozwa na Joniko Flower(kushoto)Sony Masamba(katikati)na Sam mapenzi wakicheza sebene kaliiii za nguvuuu.
Hahahhaah Hapo sasaaaa hebu ona uchezaji wa staili hizooo ni Shidarrrrrrrrr
Sasa Hebu Tazama Iyo Video Hapo Chiniii Uamini ninachokuelezea Kutoka kwa Vijana Hawa mahiri wa Skylight Band.
DSC_0073
Daudi Tumba akifanya yake kwenye Tumba zake.
DSC_0085
Mpiga kinanda mahiri wa Skylight Band akikung'uta nota za kinanda ipasavyooo,Kwa mbaliii mzee wa drums Idrisa akizicharangaaaa drums zakeee.
DSC_0096
Mpiga Solo Gitaaa Allen Kisso akicharaza nyuzi zake 6 kwa Umahiri mkubwa kabisaa yani Rahaaa sanaaaa ukiwa unapewa burudani na Vijana hawa Ndani ya Thai Village
DSC_0160
Mpiga Bass Gitaa wa Skylight Band Tophy bass akilisukuma gita lake kwa umahiri kabisa.
Huyo ni Sam Mapenzi bwana au Tamu ya warembo akitoa vocal Kaliiiii kwa mashabiki wake.
Hahahahah Back Stage Napo Paliwaka Motoooooo wakati Donode na kampani yake wakiyarudi Mangoma kwa raha zaooooo.
DSC_0150
Huyo anaitwa Dr. Sebastian Ndege (Jembe ni Jembe) Mmiliki wa Bendi ya Skylight akimpa maelekezo kijana wake Sam Mapenzi kuhusiana na Uzinduzi wa wimbo wao mpya Ijumaa ya Leo Ndani ya Thai Village Usikoseeeeee.
Haya Sasa mashabki haoooo wakipata kitu roho inapenda
DSC_0083
Heehehehehe Ayeeeee Ayeeeeeeeee mashabiki wakiimba wimbo wa Davido sambamba na Vijana wa Skylight Band (hawapo pichani)
Weweeeee acha kabisaaaaa ni raha sana unapokuwa ndani ya Thai Village na Skylight Band usikose Ijumaa ya leoooo
Hapo sasa Diva wa Skylight Band Digna Mbepera akiwaongoza wenzake kutoa burudani kaliiii ndani ya Thai Village
DSC_0088
DSC_0090
Mary Lucos(katikati)akitoa burudani akipewa sapoti na Sony Masamba na wengine.
Hapoooo Hapoooo zungushaaa zungushaaaaa vijana wakiyarudi mauno kwa staili kaliiiiii
Weweeeee sio kwamba Viuno Vinauma Hapanaaaaa Bali ni staili ya kucheza hiyooooo hahaha njooo njoooo na wewe Ijumaaa ya leo Uchezeeee usuuze rohoo
DSC_0101
Mary Lucos akifurahiiii kuona mashabiki wake wanafurahia burudani kaliiii kutoka kwaooooo.
Back Stage Sasaaaa Ni Mda wa Ukodakkkk Hapo ni Donode na Digna Mbepera.
Mdau mkubwa Sana wa Skylight band Zainul Mzige akipata Ukodak na Mary Lucos ndani ya Thai Village unapenda kupiga pichaaaaa?Njoo Thai Village Ijumaa Ya Leo
Wadau wakubwa wa Skylight Band wakipata Ukodak wa nguvuuu.
Mdau Zainul Mzige akiwa na mdau mwenzake wa Skylight Band.
Huyu ndio Mbunge mtarajiwa wa Vunjo Bwana Sillas Mbuya akipata ukodak.
DSC_0159
Hahahaha Huyo Ndio Jembe ni Jembe (Dr. Sebastian Ndege) akifurahia Muziki mzuriiiiiiiiii wa Vijana wake ndani ya Thai Village
Mashabiki kwa rahaaaaaa zaooooo.
Ohhhhhh Mama weee Hapo ni shabiki kapata Mzukaaaa wa kutosha akaamua kumuonysha Sam Mapenzi what she got it from her mama yaniiiii kiunooooooooo
Ona raha hizooooo...Hazipo kwingineeee bali ni Skylight Band pekeeeee njooo Ijumaaaa Ya Leoo upate raha ya kutoshaaaaaaa.
DSC_0135
Nyomiiiiii la kutoshaaaaa wakifurahiaaaa muziki mzuriiiiiiiii
Mamaaaaa Weee Huo ni mduaraaaa unaitwaaa...wanasema mwanamke nyongaaaa haya sasa Tazama nyonga hizoooo.
DSC_0154
Mary Lucos akaamua kwenda kucheza na shabiki wake kwa raha zaoooo
Ehhhh raha ya mduaraaaa ni kuzungusha duara na Viunooo nyorotiiiiiiii,sasa ona mambo hayoooooUsikose Ijumaa Ya leo kutakuwa na Uzinduzi wa Wimbo mpya wa Skylight Band pamoja na masuprizeeeee kibaooooooooo ndani ya Thai Village kuanzia saa tatu kamiliiii Usikoseeeeeee

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>