Ofisa Makazi (Hifadhi) wa Shirika la kimataifa la wakimbizi (UNHCR) Nicholaus Gichubiri akisisitiza jambo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mkoa wa Dodoma walioitwa kupewa mafunzo ya jinsi ya kuandika habari za wakimbizi.
Ofisa Miradi wa shirika la kimataifa linalowashughulikia wahamaji na wahamiaji I O M Charles Mkude akiwafundisha waandishi wa habari wa Dodoma kwa kutumia Michoro wakati wa mafunzo ya namna ya kuandika habari zinazowahusu wahamiaji yaliyofanyika kwa siku tatu.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma wakiwa katika mafunzo
Waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Mashirika ya Kimataifa yanayoshughulikia Wakimbizi ya I O M na (UNHCR) mara baada ya mafunzo ya siku tatu yaliyolenga uandishi wa habari za wakimbizi.