WAKULIMA WANAMDAI MWEKEZAJI MILONI 703 ALIZOWAKOPA ZABIBU TANGU MWAKA JANA...
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Godfrey Zambi akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wakulima wa Zao la Zabibu wanaomdai muwekezaji wa kiwanda cha Cetawico kinachowakopa zabibu...
View ArticleMCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA SIMBA, GEBBO PETER AFARIKI DUNIA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Simba na Taifa Stars, Gebo Peter kilichotokea usiku wa kuamkia leo (Juni 6 mwaka huu) katika...
View ArticleBREAKING NEWS: WANAFUNZI WA CHUO CHA USAFIRISHAJI CHA NIT WAFANYA VURUGU MUDA...
Wanafunzi wakiwa wanapiga Makelele kushinikiza Kulipwa pesa zao Polisi wakiwa wakiwa wanaimarisha ulinzi ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Mmoja wa Mawaziri wa Serikali ya Wanafunzi...
View ArticleMSANII WA BONGO MOVIE, NISHA AWASHUKURU WADAU WAKE
Msanii wa Bongo Movie, Salma Jabu "nisha" awafungasha wenzake sokoni yasemekana msanii bora kunako tasnia ya filamu tanzania awafungasha tela wasanii wenzake sokoni sasa wanamtafuta kwa tochi amekuwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNE 07, 2014
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleAMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TABATA 2014
Redd's Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.Redd's Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi...
View ArticleKILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI CHA FANA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA...
Mgeni rasmi akiwa amewasili katika viwanja vya mnazimmoja kwaajili ya kuadhimisha siku ya mazingira kimkoa jijini dar es salaamMeza kuu wakiwa wamesimama kwaajili ya kupokea maadamano hapo jana tarehe...
View ArticleMWILI WA MWANASOKA MAREHEMU GEBBO PETER WAAGWA LEO NYUMBANI KWAKE VINGUNGUTI,...
Mwili ukiwasili nyumbaniSehemu ya wachezaji mpira wa sasa na wazamani wakiwa wamesimama pembeni ya Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Simba miaka ya nyuma,Marehemu Gebbo Peter...
View ArticleTAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA DIAMOND KUELEKEA TUZO ZA MTV LEO
Diamond akiwa kwenye sehemu tofauti mjini Durban, Afrika Kusini akiwa kwenye matayarisho ya Tuzo za MTV MAMAs.Fainali za tuzo za MTV MAMAs zikifanyika siku ya leo Jumamosi June 7, 2014 mjini Durban,...
View ArticleBREAKING NEWZ MZEE SMALL AFARIKI DUNIA
Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE JUNE 08, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI ENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA PICHA SITA ZA MADEREVA WA BODABODA WAKIMSINDIKIZA BODABODA MWENZAO...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleDIAMOND ASHINDWA KUTAMBA KWENYE TUZO ZA MTV MAMA, WATIZAME WALIOTWAA TUZO...
Diamond na Wema kwenye red carpet ya MTV MAMA Diamond ambaye pia alitumbuiza wimbo wake ‘My Number One’ remix akiwa na Davido, alikuwa ametajwa kuwania vipengele viwili ambavyo ni pamoja na muimbaji...
View ArticlePICHA: YANAYOENDELEA KUJIRI NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE SMALL
Mke wa marehemu Mzee Small, Bi. Fatuma Said akiwa na simanzi nzito.Wasani Jumanne Shabaan 'Made Matata', Mbembe (katikati) na Habib Mrisho 'Sumaku' (kulia) wakijadiliana jambo msibani. ENDELEA...
View ArticlePICHA: MBUNGE JOSHUA NASSARI NA ANANDE NNKO WAFUNGA NDOA KATIKA KANISA LA...
Msafara wa gari chache majira ya saa 2:30 ulianza safari katika viwanja vya Usa-River ambako gari za maharusi zilikuwa zikipambwa mdogo mdogo zikapanda Kilima zikiwa na maharusi Joshua Nassari na...
View ArticleSITA WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA LORI MKOANI MBEYA
Basi la Ndenjela lililogongwa na kupinduka eneo la Nanyala MbeyaLori lililosababisha ajali likiwa limepinduka upande mwingine baada ya kuligonga basi la NdenjelaENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNE 09. 2014
ENDELEA KUSOA MAGAZETI MENGUNE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleMZEE SMALL KUZIKWA KATIKA MAKABURI YA TABATA LEO
Mzee Small enze za uhai wakeMsanii maarufu wa maigizo, Said Ngamba ‘Mzee Small’ anatarajiwa kuzikwa leo saa 10 alasiri katika makaburi ya Tabata jijini Dar es Salaam, baada ya kufariki juzi usiku akiwa...
View ArticleBREAKING NEWS: MADEREVA WA DALADALA WAGOMA KUSAFIRISHA ABIRIA KUTOKA STAND...
Hili ni moja ya Lori lilikuwa linatumika kusafirisha abiria kutoka Soko kuu kwenda UyoleENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUOFYA HAPA CHINIEndelea kufuatilia hapaPicha na Mbeya yetu BlogPata habari...
View ArticleMSAADA WA MATIBABU KWA MTOTO MAIMUNA YAHAYA
Pichani ni Mtoto Maimuna Yahaya Msaada wa Matibabu kwa mtoto Maimuna Yahaya Mtoto Maimuna Yahaya (11) anayesoma shule ya Msingi ya watoto wenye mahitaji maalum (wenye ulemavu) ya Irente Rainbow...
View Article