TAZAMA RATIBA NZIMA YA MECHI ZITAKAZOCHEZWA KWENYE KOMBE LA DUNIA 2014 NCHINI...
ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMZEE SMALL AZIKWA MAKABURI YA SEGEREA JIJINI DAR
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNE 10, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMHE. WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF SOSPETER MUHONGO NA UJUMBE WAKE...
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akitambulisha Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo kwa Mkuu wa Utawala na Fedha wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNE 11, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleBREAKING NEWS: WAMBURA RUKSA KUGOMBEA URAIS SIMBA
Mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura.RASMI Kamati ya rufani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemrejeha Mgombea wa Urais wa Simba SC, Michael Richard Wambura kwenye mbio za...
View ArticleGARI DOGO LADUMBUKIA MTARONI BARABARA YA KILWA, JIJINI DAR
Gari lilivyokosea njia na kuingia mtaroni. GARI dogo lililopata ajali jana lilinaswa na mtandao huu baada ya kupinduka katika Barabara ya Kilwa eneo la Ufundi, jijini Dar es Salaam ambako dereva wake...
View ArticleUPDATES: WATU WATATU WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA...
Watu watatu wamefariki Dunia baada ya Magari mawili yenye tela kila moja kuacha njia na kupinduka na kufasabisha vifo vya watu hao na kujeruhi wengine wawili katika ajali iliyotokea Jana Huko Tarafa ya...
View ArticleGARI LATUMBUKIA SHIMONI, VIJANA WAZICHAPA BAADA YA KUPEWA PESA YA MGAO
Shimo ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo. Gari la serikali likiwa limekwama kwenye shimo hilo.ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Muonekano wa shimo ulivyo. Vijana...
View ArticleASKARI AUAWA KINYAMA KWA KUKATWA NA MAPANGA MKOANI PWANI USIKU WA KUAMKIA LEO
Mwili wa Marehemu Joseph Ngonyani Muda mchache baada ya kupatwa mauti.*************Mnamo 11/06/14 majira ya 0100hrs huko kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani, watu wasiojulikana waliojifanya kuwa ni...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI JUNE 12 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JUNE 13 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIZINDUA TAMASHA LA VITABU VYA WATOTO MKOA WA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa amesimama na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwemo Katibu Tawala Ndugu Theresia Mbando (wa tatu kutoka kulia), Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ndugu Raymond...
View ArticleWANDISHI WA HABARI KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA PORI LA AKIBA LA SELOUS...
Baadhi ya wandishi wa habari kutoka Afrika Kusini wakipiga picha Simba waliotulia chini ya mti katika Pori la Akiba la Selous Simba wakiwa wamepumzika chini ya mti katika Pori la A Kiba ka...
View ArticleKOMBE LA DUNIA 2014: NEYMAR, OSCAR WAICHINJA CROATIA
Neymar akishangilia bao lake la kwanza.Neymar akitupia bao la pili kwa mkwaju wa penalti.Marcelo (wa pili kulia) akijifunga na kuwapa bao la kuongoza Croatia katika dakika ya 11.Oscar baada ya kufanya...
View ArticleTAASISI YA KIISLAM YA WAAHMADIYYA YASAIDIA VISIMA VYA MAJI NCHINI VYENYE...
Mtoto mkazi wa kijiji cha Ibihwa Wilayani Bahi akikinga maji yanayotoka katika bomba la kisima cha kupampu kwa furaha kutokana na kukosa maji kwa muda mrefu kutokana na bomba la kisima hichokuhalibika...
View ArticleWAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROF SOSPETER MUHONGO, AKUTANA NA MR MAYANK...
Mhe. Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akifanya mazungumuzo na Mr. Mayank Bhargava Mkurugenzi mwendeshaji wa kampuni ya Next Gen Solar USA kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini...
View ArticleAJALI ILIYOTOKEA BARABARA YA ALLY HASSAN MWINYI LEO JIJINI DAR
Majeruhi akipewa huduma ya kwanza na mmoja wa akina mama aliyekuwa akifanya usafi kando kando ya barabara mapema leo asubuhi,katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha. Baadhi ya Watu wakitazama ajali...
View ArticlePICHA KUTOKA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mheshimiwa Stephen Masato Wasira (Mb) Akiwasilisha Bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2013 na Mpango na Maendeleo wa Taifa...
View ArticlePICHA: BAADA YA DUKA LA SHOPRITE LA MLIMANI CITY KUNUNULIWA NA NAKUMAT YALETA...
Makundi makubwa ya watu yanaonekana yametapakaa katika eneo la shopping mall ya Shoprite ndani ya Mlimani City jijini Dar muda huu,baada ya Super Market mpya ya NAKUMAT iliyoinunua Shoprite kuamua...
View Article