Diamond akiwa kwenye sehemu tofauti mjini Durban, Afrika Kusini akiwa kwenye matayarisho ya Tuzo za MTV MAMAs.
Fainali za tuzo za MTV MAMAs zikifanyika siku ya leo Jumamosi June 7, 2014 mjini Durban, Afrika Kusini huku Bongo ikiwakilishwa na Diamond Platinum, kituo cha runinga cha MTV Base (DStv Channel 322) na MTV (DStv Channel 130) zitaonyesha fainali hizo usikose kutazama
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI