Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

WAKULIMA WANAMDAI MWEKEZAJI MILONI 703 ALIZOWAKOPA ZABIBU TANGU MWAKA JANA MKOANI DODOMA

$
0
0
 Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Godfrey Zambi akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wakulima wa Zao la Zabibu wanaomdai muwekezaji wa kiwanda cha Cetawico kinachowakopa zabibu zao na kushindwa kuwalipa kwa wakati ambapo kwa misimu miwili muwekezajihuyo anadaiwa zaidi ya 700. mil. waliokaa kushoto ni Mwenyekiti wa Wabunge wa mkoa wa Dodoma Mhe. Hezekiah Chibulunje na kulia ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Hombolo Bwawani Jerad Mtagwa
 Mkulima na mkazi wa kijiji cha Hombolo Dodoma Wile Kaluganya akiongea jambo wakati alipokuwa akuliza jambo kwa Naibu waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Godfrey Zambi hayupo pichani wakatialipowatembelea ili kusikiliza malalamiko ya madai yao wanayomdai mwekezaji wa kiwanda cha Cetawico kinachonunua zabibu za wakulima hao.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI 

Mmoja wa wakulima wa zabibu Joseph Sanka akiuliza jambo kwa waziri, wakati wakulima wa Zao la Zabibu walipokusanyika na kutaka kujua ni lini watalipwa 700. MIL wanazomdai muwekezaji wa kiwanda  cha kutengeneza Wine cha Cetawico kutokana na kutowalipa fedha zao zaidi ya milioni 700 za tangu mwaka jana.
 Ofisa Tarafa wa tarafa ya Hombolo Isaac Songoro Akizungumza jambo Mbele ya Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Dr David Malole, Mwenyekiti wa Wabunge wa mkoa wa Dodoma Hezekiah Chibulunje na viongozi wengine wa Serekali, namnamuwekezaji wa Kiwanda cha kutengeneza Wine cha Cetawico asivyo na ushirikiano na viongozi wa Selikari.
 Mhasibu wa kiwanda cha Cetawico Jackison Temu akimsomea idadi ya madeni wanayodaiwa na wakulima Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Godfrey Zambi na viongozi wengine waliofika Kiwandani hapo
kutaka kujua ni kwa nini Muwekezaji wa Kiwanda hicho ameshindwa kuwalipa wakulima fedha zao kwa wakati.
Wakulima wa zao la Zabibu wa kijiji cha Hombolo wakiwa wamekusanyika walipokuwa wakimsikliza Naibu Waziri wa Kilimo Godfrey Zambi aliyefika kusikiliza madai ya madeni yao kwa muwekezaji wa kiwanda cha Cetawico anayedaiwa zaidi ya 700 mil. na wakilima hao.

Na John Banda, Dodoma
WAKULIMA wa zao la zabibu katika kijiji cha hombolo Wameitaka serekalikuwasimamia ili waweze kulipwa madai yao ya zaidi ya milioni 700wanazomdai muwekezaji wa kiwanda cha Cetawico na baada ya hapoafukuzwe  kutokana kuzarau wazawa.Wakulima hao waliofikisha malalamiko yao mbele ya Naibu Waziri waKilimo chakula na ushirika Godfrey Zambi aliyefika katika kjiji hichocha Hombolo Manispaa  ya Dodoma ili kusikiliza kilio chao.
Katibu wa ushirika wa Wakulima wa zabibu na Masoko hombolo RamadanMkombozi alisema wanamdai muwekezaji wa kiwanda hicho cha Cetawico DrFlorenzo Chesini Raia wa Italy 700 milion kwa zaidi ya miezi 9 haliinayowasababishi ugumu kimaisha kutokana na wengi wao kushindwa kulipa mikopo.
Alisema pamoja na jitihada mbalimbali walizofanya zikiwemokushirikisha serekali ya wilaya na mkoa ili kuwasaidiwa kudai madeniyao bado wamegonga mwamba kutokana na kutopewa  ushirikiano na badalayake kuishia kupewa majibu yasiyoridhisha.‘’Mhe. Naibu Waziri kwa kuwa umekuja tunaweza kupata madai yetu lakinihuyu muwekezaji hii siyom mara yake ya kwanza kutotulipa hata mwakajana msimu wa mwezi wa pili ilibidi Waziri Chiza aingilie kati ndiyotukalipwa japo si malipo yote, tunachoomba ni bora aondolewe ili
aletwe mwingine atakaeshirikina na sisi vizuri,
Hata bei yenyewe si nzuri kwa sababu akipekewa Zabibu huwa zinapimwatunaziacha na bei anapanga yeye kwa kiangazi analipa kilo moja tsh 800au 1000 wakati masika 500 au 400 bila kujali Gharama za uendeshajihali inayotupa hasara mara kwa mara  na mtu akihoji anaambiwaasipeleke tena, nasi hatuna pa kupeleka kutokana na kutokuwepo na
viwanda vingine’’, alisema
Awali Mhasibu wa kiwanda cha Cetawico Jacson Temu alimwambia NaibuWaziri Kilimo,Chakula na Ushirika Godfrey Zambi aliyefika kutaka kujuakiasi wakulima hao wanachodai kuwa ni 703. Mil ambazo Muwekezajiandaiwa na wakulima.
Baada ya maelezo ya Mhasibu huyo Ndipo Naibu Waziri huyo alipomuagizakumfikishia ujumbe Bosi wake kuwa ahakikishe ndani ya mwezi huu wasita wakulima hao wanalipwa fedha zao zote la sivyo serekali itachukuahatua

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>