Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MSANII WA BONGO MOVIE, NISHA AWASHUKURU WADAU WAKE

$
0
0

Msanii wa Bongo Movie, Salma Jabu "nisha" awafungasha wenzake sokoni yasemekana msanii bora kunako tasnia ya filamu tanzania awafungasha tela wasanii wenzake sokoni sasa wanamtafuta kwa tochi amekuwa msanii mwenye uwezo wa kuliteka soko si kwa wasanii wa kiume wala wakike yeye ndio kinara kwa sasa na ana mashabiki wengi sana salma jabu anaendelea kusema nawashukuru,namshukuru mungu na mashabiki na pia bloggers wananipa support sana na vyombo vingine vya habari asanteni.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>