Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TABATA 2014

$
0
0
 Redd's Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa  rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.
Redd's Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park, Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia Jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .
 
 Redd's Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
 Warembo walioingia hatua ya tano bora katika Shindano la Redd's Miss Tabata 2013

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
 Kumi Bora.
 Warembo wakitoa burudani
 Bendi ya Twanga Pepeta ikitoa burudani kwenye shindano la miss Tabata lililofanyika kwenye usiku wa kuamkia leo
 MC Double A akizungumza jambo kwenye shindano la miss Tabata lililofanyika kwenye usiku wa kuamkia leo
 Warembo wakiwa wamevaa vazi la ufukweni
 Warembo wakitoa burudani
 Majaji wakifanalaizi mambo.
 Jaji wa Missi Tabata 2014, Le Mutuzi akiwataja warmbo kumi bora na pia aliwataja tano bora
 Washindi wa Miss Ukonga nao walikuja kuonesha ya kwao
 Maswali yakiulizwa kwa Warembo
 Burudani ikiendelea
 Wadau waliokuwa kwenye miss Tabata
 Wakuu wa Kamati ya Miss Tanzania wakifuatilia kwa makini shindano la Miss Tabata.
Miss Talent 2014 alichukua Faudhia Feka
Miss Discipline alichukua, Nuru Omary
   Redd's Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
Aliyekuwa Redd's Miss Tabata 2013, Doris Molel akimvisha Sasha mshindi wa Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy.
 Aliyekuwa Redd's Miss Tabata 2013, Doris Molel akimvisha taji mshindi wa Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy.
Wadau waliofika kutizama Redd's Miss Tabata 2014

PICHA NA PAMOJA BLOG 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>