Mgeni rasmi akiwa amewasili katika viwanja vya mnazimmoja kwaajili ya kuadhimisha siku ya mazingira kimkoa jijini dar es salaam
Meza kuu wakiwa wamesimama kwaajili ya kupokea maadamano hapo jana tarehe 05/06/2014 katika siku ya mazingira.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mgeni Rasmi Mkuu wa wilaya ya Temeke mh.Sophia Mjema Sambamba na mstahiki meya wa Ilala Mh.Jerry Silaa
Miongoni mwa vikundi mbalimbali vikiwa vimebeba mabango yenye ujumbe mzuri wa maadhimisho ya siku ya mazingira katika mkoa wa dar es salaam ndani ya viwanja vya mnazi mmoja
Mh.meya wa Temeke Maabad Hoja akimkaribisha mgeni rasmi ili kuweza kutoa hotuba
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh.Sophia Mjema akitoa hutuba ya mazingira wakati wa maadhimisho katika viwanja vya mnazi mmoja
Wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakiwa wamehudhuria maadhimisho hayo ya mazigira
Wananchi mbalimbali na mashirika mbalimbali waliweza kuhudhuria maadhimisho hayo katika viwanja vya mnazi mmoja
Dada Yusta Kibona ambaye ndiye aliye soma risala kutoka Forum CC mbele ya mgeni rasmi
Mh.Mgeni rasmi akiwa anakabidhi vyeti na vikombe kwa walio weza kutunza mazingira vyeti mbalimbali viliweza kutolewa hivyo ni baadhi tu ya washindi walio kuwa wameweza kushinda
wazee wa ngwasuma wakitoa burudani ndani ya uwanja wa mnazi mmoja