VIDEO YA MB DOG KUANZA KUCHEZWA LUNINGANI WIKI HII
Mb Dog, pichani.Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMWIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed, Mb Dog, amesema mashabiki wake wataanza kuona video ya wimbo wake wa Mbona Umenuna katika vituo vya...
View ArticleMWILI WA MTOTO NASRA WAAGWA KWENYE KIWANJA CHA JAMHURI NA KUZIKWA LEO
Mamia ya wakazi wa Mkoa wa Morogoro waliojitokeza Kuuga Mwili wa mtot Nasra Mwili wa mtot Nasra ukipelekwa makaburini Kuzikwa ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Waombolezaji wakiwa...
View ArticleINASIKITISHA SANA: MTOTO MCHANGA AUAWA KWA KUFUNGWA PLASTA ENEO LA KAWE-BEACH...
Mtoto aliyekutwa amefariki baada ya kutupwa eneo la Kawe-Beach na kufungwa plasta mdomoni na puani. Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye hakujulikana jina lake wala kujua anapoishi,...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNE 04, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: MAANDALIZI YA KUAGWA KWA MAREHEMU GEORGE TYSON KWENYE VIWANJA VYA...
Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapoka a kwa ajili ya kuagwa.(Picha na Pamoja Blog) Utaratibu huu umeandaliwa katika viwanja vya Leaders Club kwa lengo la kuwapa fursa...
View ArticleMTOTO MCHANGA AOKOTWA KWENYE SHIMO IGANZO MBEYA , AFARIKI MUDA MCHACHE BAADA...
Kichanga kikiwa kimefunikwa Baada ya kuokolewa na muda mchache kufariki Shimo ambamo kichanga hicho kimekutwaENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Mashuhuda wakishuhudiaWengine wakiwa...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON WAAGWA KWENYE VIWANJA VYA LEADRS CLUB LEO
Mwili wa marehemu George Tyson ukifika kwenye viwanja vya Leaders Club leo kwa ajili ya kuagwa Dada wa Marehemu Doreen akiwa ameshika picha ya kaka yake baada ya mwili wake kufika kwenye viwanja vya...
View Article“MPAKA SASA MAANDAMANO MENGI YAMEFANYIKA HAPA NCHINI”- SACP SIMON SIRRO
Kamishina Mwandamizi wa Jeshi la Polisi nchini (SACP) Simon Sirro akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya wiki mbili kwa makamanda wa Jeshi hilo nchini, mafunzo hayo yaliyofadhiliwa na UNDP yana...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS JUNE 05, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUDA YAVUA NGUO WABUNGE WA CCM
Vita ya umiliki wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda) iimeendelea kugubika Bunge, safari hii wabunge wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakishambuliana kuhongwa na pande mbili zinazogombea...
View ArticleUNATAKA KUSAFIRI NJE YA NCHI, UNAJUA MAHITAJI GANI YA ZIADA YANAHITAJIKA...
Kipindi kilichopita tuliona aina za pasipoti zinazotolewa nchini Tanzania na baadhi ya taarifa unazotakiwa kuwa nazo ili uweze kuipata.Leo tutaangalia hati zitazokusaidia pia upate pasipoti kwa urahisi...
View ArticleHII NDIO TANZANIA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: BI HARUSI AAMUA KUMBURUZA SAKAFUNI MWANAYE WA MWEZI 1 JUU YA SHELA...
Mwanamke mmoja wa Tennessee, Marekani hivi karibuni aliamua kufanya kitendo ambacho huenda kwake aliamini kuwa ni ubunifu utakao wa ‘wow’ wageni waliohudhuria kanisani kushuhudia ndoa yake na mume...
View ArticleNENO LA LEO MTAANI KWETU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleCHATU ATOKEA NYUMBANI KWA MTU ARUSHA, MWENYEWE AOMBA ASIUAWE NI MWANAE WA KWANZA
Nyumbani kwa mtu katokea chatu kafungwa kitambaa cheupe kimeandikwa quran ndani ya geti wafanyakazi wakakimbia na kufungua geti ghafla mwenye nyumba akapigiwa simu akasema Chatu limetokea chumbani kwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JUNE 06, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: NANI KUTWAA TAJI LA MISS TABATA 2014 LEO TAREHE 06/06/2014?
Husna Ibrahim Evodia Mdemu Happiness Wilson Lightness Olomi ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Fatma Hussein Marium Shwaib Ramta Mkadara Angela Kashaga Ambasia Maliy 10.Nuru Omary...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAZIDI KUWAPA SHANGWE MASHABIKI NDANI YA KIOTA CHA THAI...
Digna Mbepera (katikati) akiongoza Divas wenzake wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 na Winfrida Richard (kulia) kutoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village...
View ArticleUNA UFAHAMU UGONJWA WA KISUKARI? SOMA HAPA UJIELIMISHE
Kisukari,ni ugonjwa unaotokea katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, ambapo kiwango cha sukari rahisi(glucose) kinazidi katika damu.Kawaida, kiwango cha sukari katika damu kinarekebishwa na kemikali...
View ArticleWARIOBA AZISHUKIA UKAWA, CCM
Katika Bunge hilo, wajumbe wengi wa CCM walimshambulia Warioba na tume yake wakidai kuwa Rasimu ya Pili ya Katiba haikuzingatia maoni ya wananchi na Mabaraza ya Katiba.PICHA|MAKTABA Aliyekuwa...
View Article