Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapoka a kwa ajili ya kuagwa.(Picha na Pamoja Blog)
Utaratibu huu umeandaliwa katika viwanja vya Leaders Club kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa jiji la Dar es Salaam kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya kusafirishwa.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Meza kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuwaga mwili wa George Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari na anatarajiwa kusafirishwa leo kwenda Kenya kwa mazishi.
Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi