Mwili wa marehemu George Tyson ukifika kwenye viwanja vya Leaders Club leo kwa ajili ya kuagwa
Dada wa Marehemu Doreen akiwa ameshika picha ya kaka yake baada ya mwili wake kufika kwenye viwanja vya Leaders
Mwili wa Marehemu George Tyson ukipelekwa eneo la kuagia
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Baada ya mwili kufikishwa eneo husika