Digna Mbepera (katikati) akiongoza Divas wenzake wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 na Winfrida Richard (kulia) kutoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Ijumaa ya leo pia sio ya kukosa mwendo ni ule ule ma-style mapya kibao yatachezeka!
Amsha amsha ikianza taratibu....hakuna kama Skylight Band ndio habari ya mujini...!
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Majembe ya Skylight Band...Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakifanya yao jukwaani.
Swagga za muziki unapokela ni Hashim Donode na Wnifrida Richard waki-feel upigaji wa vyombo vya Skylight Band.
Aneth Kushaba AK47"mutoto ya Kisukuma" ikiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa.
Kikukuu huyo...ana mariongo huyooo...kwiyo kwiyo.....ni ma-style ya kufa mtu kutoka kwa majembe ya Skylight Band Ijumaa iliyopita na Ijumaa hii pia tutacheza.
Hapana chezea bakongo...!!!
Vijana wa JembeniJembe wakichapa mzigo..!
Kikukuuuu huyoooooo ana manyoya huyoooooo Kwikwiyoooooo kwiyoooooo...!
Sugua sugua mpaka kitakate..... Mguuuu pandeeee mguuuu sawaaaaa suguaaaa suguaaaaaaaa....Joniko Flower akipiga vocal huku wenzake wakionyesha show ya aina yake.
Wapiga Bass wa Skylight Band wakishow love kwenye Ukodak kulia ni Tophy pamoja na Emma akiwa na waubavuni kwake.
Tumetokelezea....!!!
Winfrida Richard akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band na back vocal ya ukwelii nyuma yake.
####Team Popoz ####Team wanamanyoya### ikiongozwa na @Eddivied(kushoto) na Victor Maginga....Blaaaasana!
Tamu ya warembo Sam Mapenzi akipiga vocal kwa hisia kali sana...!
Twende kazi sasa....hapo bwana...Cause e want e my love o....She no want designer....She no want ferrari....She say na my love o...You belong to me.....And i belong to her o....Uh baby....You go kill e somebody...They say love is blind...But i dey see am for your eyes o o….o eh eh...For your eyes o...Sam Mapenzi akiwachizisha mashabiki wa Skylight Band.
Sam Mapenzi wewe ni noumaaaa mpaka Meneja kachizika usipime wewe..Aneth Kushaba AK47 akipiga yoweee za kukunwa na burudani ya Sam Mapenzi pale anapogusa zile za Swagga za Kinigeria...!!
Moses Kinanda nae kwa sifa kabisa kikipuliza vilivyo..!!
Shabiki wa Slylight Band akichizika jukwaani(hicho kiatu Lady Gaga aingi ndani) baada ya kukunwa na wimbo wa "Happy" uliokuwa ukiimbwa na Aneth Kushaba AK47.
Happy, bring me down...Can't nothing, bring me down...Love is too happy to bring me down...Can't nothing, bring me down..I said bring me down.... palionagaje wewe tu umekosekana....!.....Kwa picha zaidi ingiahapa