MAGAZETI YA LEO ALHAMIS MAY 15 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZEI MENGINE KWA BOFYA HAPAPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA MAY 16, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSERIKALI YA TANZANIA IMETHIBITISHA MRADI WA TRENI ZA JUU KAMA HIZI KUJENGWA...
Waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe ameongea na TBC1 na namnukuu akisema ‘mradi unaanza wakati wowote mapema iwezekanavyo manake wenzetu tayari wanazo pesa hivyo ni sisi kukimbia tuanze mara moja...
View ArticleJAJI WEREMA AOMBA RADHI KWA KAULI YAKE YA KIBAGUZI
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema, jana aliomba radhi Bunge baada ya kutoa kauli, iliyoonesha ubaguzi kwa wabunge kutoka Zanzibar.Kabla ya kuomba radhi, kauli hiyo ilisababisha wabunge...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA PICHA KWENYE MKUTANO WA UKAWA MJINI MOSHI
Taswira za Ukawa walivyounguruma mjini Moshi jana.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAARIFA YA MSIBA WA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU
Private Brian Salvatory Rweyemamu Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Private Brian Salvatory Rweyemamu aliyefariki alfajiri ya...
View ArticleWANAHARAKATI WAANDAMANA JIJINI DAR ES SALAAM KUPINGA UTEKAJI WA WASICHANA...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi (aliyeshika kipaza sauti) akisoma barua maalumu iliyotumwa kwa ubalozi wa Nigeria nchini Tanzania kuonesha wanaharakati hao kupinga utekaji...
View ArticlePROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA...
Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo...
View ArticleMAPENZI NI YA WAWILI,BAKI NJIA KUU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleNEW AUDIO: WITNESZ FEAT. OCHU SHEGGY – THINK ABOUT IT
Kuwa wa kwanza kusikiliza Single mpya ya Msanii Witnesz aliyemshirikisha Ochu Sheggy "THINK ABOUT IT" hapa chini.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleKAMPUNI YA TANZANIA BUSINESS CREATIONS COMPANY LTD (TBCC) YATOA MAFUNZO KWA...
Mkurugenzi wa kampuni ya Tanzania Business Creations Company LMT (TBCC) inayojishughulisha na ufundishaji wa utengenezaji wa Bidhaa na Ujasiriamali Elibarick Mchau akitoa ufafanuzi wa jambo mbele...
View ArticleSKYLIGHT BAND WAZIDI KUTIKISA JIJI LA DAR KWA BURUDANI, USIKOSE IJUMAA HII
Kikosi Cha Skylight kutoka kushoto ni Winfrida, Sam Mapenzi na Sony Masamba wakianza kuamsha amsha ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.Sam Mapenzi akiimba kwa Hisia kali wimbo wa “All on Me wa John...
View ArticleTUMEDHAMIRIA KUIPASHA TANZANIA KIMATAIFA
Naibu Katibu Mtendaji (Biashara za Kimataifa na Mahusianao ya Kiuchumi) mpya wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bw. Paul Sangawe (Kulia) akila kiapo cha utii na utumishi mbele ya Rais Dkt. Jakaya...
View ArticleBALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA MKEWE...
Juu na chini ni Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na msafara wa Mhe. Benjamin Mkapa wakifuatilia mzungumuzo hayo. Juu na chini ni Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake, Rais Mstaafu...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 17, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleBREAKING NEWS: MAUAJI YA KUTISHA GEITA MWANAMKE ATENGANISHWA KICHWA NA...
Na Mwandishi wetuMwanamke mmoja ameuawa kikatili kwa kukatwa katwa na mapanga sehemu mbalimbali za Mwili wake kwa kudhaniwa kuwa anaimani za Kishirikina, Mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la...
View ArticleNUSU MWAKA UMEFIKA, JE MALENGO YAKO YAMEFIKIA WAPI?
Ungwe ya kwanza ya mwaka 2014 inamalizikia, naamini ulikuwa na vitu ambavyo ulidhamiria kuvifanya mwaka huu. Sasa ni wakati wa kujaribu kupitia je mambo yako au mipango yako imefikia wapi na je...
View ArticleMSANII WA BONGO MOVIE, SALMA JABU "NISHA" SASA KUINGIA RASMI KWENYE BIASHARA...
Salma Jabu "Nisha" apania kufungua biashara mbalimbali ili aweze kufikia malengo baaada ya saloon, yupo mbioni kufungua biashara nyingine ambayo hakutaka kuweka wazi ni kutokana na maslahi zaidi...
View ArticleMCHEZAJI HUYU ASEMEKANA KUWA NA UMRI WA MIAKA 17 SIO 42
Uchunguzi wa shirikisho la soka la Italia umebaini kuwa mchezaji tineja wa Cameroun Joseph Minala ana umri wa miaka 17 wala sio 42 kama ilivyodhaniwa na kuripotiwa katika vyombo vya habari.Mnamo mwezi...
View ArticleBREAKING NEWS: WABUNGE WA UPINZANI WATOKA BUNGENI
Kwa mujibu wa chombo chetu cha habari kutoka Bungeni Dodoma kinasema wabunge wa upinzani wametoka Bungeni kwa kuigomea Wizara ya Nishati na Madini ambayo ilikuwa inapitisha bajeti yake leo. Wabunge hao...
View Article