Mkurugenzi wa kampuni ya Tanzania Business Creations Company LMT (TBCC) inayojishughulisha na ufundishaji wa utengenezaji wa Bidhaa na Ujasiriamali Elibarick Mchau akitoa ufafanuzi wa jambo mbele yawananchi wa mkoa wa Dodoma wanaoshiriki mafunzo hayo yanayofanyika katika viwanja vya Mashujaa na yanatarajia kufungwa mwishoni mwa wiki hii.
Sabuni za miche kama hizi ni moja ya Bidhaa zinazotengenezwa na wajasiriamali hao katika mafunzo ya vitendo yanayoendelea katika viwanja hivyo zikiwa katika moja ya mabokis yaliyotengezwa kwa mbao ambayo yanatumika kezitengenezea.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Wajasiriamali toka maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma wakifuatilia kwa makini mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali, ufugaji na usindikaji wa vyakula yanayoendelea katika viwanja vya mashujaayaliyoandaliwa na (TBCC).