Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

BREAKING NEWS: WABUNGE WA UPINZANI WATOKA BUNGENI

$
0
0
Kwa mujibu wa chombo chetu cha habari kutoka Bungeni Dodoma kinasema wabunge wa upinzani wametoka Bungeni kwa kuigomea Wizara ya Nishati na Madini ambayo ilikuwa inapitisha bajeti yake leo. Wabunge hao wametoka bungeni humo kwa kutotaka kushirikishwa kwenye upitishwaji wa bajeti hiyo kwani kila mwaka haitoi utatuzi kwenye suala la Umeme na Madini ya hapa nchini. Pia Mh. Mbowe alisema wizara hii ni kubwa inabidi igawanywe ili uwepo ufanisi kwatika wizara hii pia ameongezea kwa kusema muda uliowekwa wa kujadili wizara hii ni mdogo kwani wizara hii ya Nichati na Madini ni kubwa ukilinganisha na muda uliowekwa.
 Wabunge wa upinzani wakiwa wanatoka nje ya Bunge baada ya kususia kikao

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

  Wabunge wa upinzani wakiwa wanatoka nje ya Bunge baada ya kususia kikao


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>