Salma Jabu "Nisha" apania kufungua biashara mbalimbali ili aweze kufikia malengo baaada ya saloon, yupo mbioni kufungua biashara nyingine ambayo hakutaka kuweka wazi ni kutokana na maslahi zaidi anasema anajisikia furaha zaidi akiwa mjasiilamali kwa sababu itamfanya awe na maendeleo zaidi kwani kabla ya filamu alikuwa mfanyabiashara.
↧