UPDATES: MWANACHUO WA UDSM AKUTWA AMEFARIKI CHUMBANI KWAKE
Enzi ya Uhai wa SakabengaMwanachuo wa chuo kikuu cha Dar es Salaam amekutwa amefariki kwenye chumba ambacho alikuwa akikaa chuoni hapo. Kwa mujibu wa wenzake wanasema mwanachuo huyo alitoka kujisomea...
View ArticleUPDATES:MWONGOZAJI WA FILAMU, GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA AJALINI MKONI MOROGORO
TAARIFA ZILIZOTUFIKIA, ZINAELEZA KUWA ALIEKUWA MUONGOZAJI WA FILAMU NA VIPINDI MBALI MBALI VYA TELEVISHENI HAPA NCHINI,GEORGE TYSON (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA.GEORGE TYSON AMEFIKWA NA MAUTI HAYO USIKU...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MAY 31, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePETER MUTHARIKA NDIE RAIS MTEULE MALAWI
Profesa Peter Muthirika anayeongoza chama cha DPP ndiye rais mteule nchini MalawiHatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima. Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza amesema...
View ArticleTAARIFA YA SUMATRA YA KUONDOA KITUO CHA MABASI CHA MWENGE KWENDA MAKUMBUSHO...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTCRA YAFANYA UZINDUZI RASIMI WA MATANGAZO YA TELEVISHENI KWA MFUMO WA...
Meza kuu kwenye uzinduzi wa matangazo ya televisheni kwa mfumo wa Digitali iliyofanyika leo wilayani kahama. Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh. Mpesya akisoma hotuba katika uzinduzi wa dijitali Kahama...
View ArticleBREAKING NEWS: AJALI YATOKEA KALOLENI BAINA YA TRENI NA GARI
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWAWILI WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE TISA MAJERUHI KATIKA AJALI MBILI TOFAUTI...
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi.Watu wawili wamepoteza maisha kutokana na ajali mbili zilizotokea katika maeneo mawili tofauti na nyakati tofauti Mkoani Dodoma.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON UKITOLEWA HOSPITALI YA...
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Morogoro Bw. Antony Mtaka akiwa na raisi wa wasanii Mwakifamba wakiingia eneo la Mochwari tayari kwa maandalizi...
View ArticleWASIOONA WAOMBA FIMBO NYEUPE
Mratibu wa Mradi wa Ulingo wa Majadiliano kuhusu ujumuishwaji, Utetezi wa Mahitaji na Haki za Wenye ulemavu wa Macho (Wasioona) Mathias Fwejeje akionyesha Fimbo nyeupe zinazotumiwa na wasiiona,...
View ArticleDIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC, APIGA PICHA NA MASHABI WAKE, LEO KUFANYA...
Diamond Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC...
View ArticleWAMACHINGA WANAOFANYA KAZI ZAO KWENYE VITUO VYA DALADALA NA MABASI SASA...
Kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma SSP Peter Simaakifafanua jambo alipokuwa akizungumza na madiwani wa manipaa ya Dodoma lililofanya mwishoni mwa wiki hii. Meya wa Manispaa ya...
View ArticlePICHA: MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON WAWASIRI JIJINI DAR ES SALAAM...
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa George Tyson kuupeleka mochwari. Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar. ENDELEA...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNE 01, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleBREAKING NEWS: MAMA MZAZI WA MH. ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA
Mama yake na Zittto enzi za uhai wakePata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE KILI MUSIC TOUR ILIVYOFANYIKA NDANI YA JIJI LA MWANZA
Zembwela na Dullah wakifanya yao kwenye jukwaaa ndani ya mwanzaRich Mavoko na dancers wake wakiwa back stageENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Rich Mavoko akikamua vya kutoshaaaa...
View ArticleMAJAMBAZI YAUA JIJINI ARUSHA
Mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha. Majambazi hao walikuwa wakipora kwenye Bureau Change iitwayo Nothern...
View ArticlePICHA: MWILI WA MAMA YAKE NA MH. ZITTO KABWE WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA
Zitto kabwe akiwa na Prof Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishiNdege ikiandaliwa ili kuweza...
View ArticleDIAMOND AWEKA HISTORIA NEW JERSEY
All Star Club Elizabeth New Jersey Diamond akikamua licha ya show kuchelewa kuanza na wapenzi wa Diamond kushikwa na jazba wakitaka aendelee lakini ikashindika kutokana na muda wa kufunga club kufika....
View ArticleNGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA SIKU YA KITAIFA YA WAKAMERUNI MJINI...
Dortmund,Ujerumani,Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka "FFU-Ughaibuni,ukipenda waite viumbe wa ajabu "Anunnaki" au " watoto wa mb..wa" yenye makao kuleujerumani, bendi...
View Article