Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

 Mchungaji Peter Msigwa kushoto akijadiliana Jambo na Naibu waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angellah Jasmine Kairuki.Wajumbe Profesa Ibrahim Lipumba na Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu wakijadiliana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBA MPYA: NIMEITAFAKARI SANA NJIA YA KIKWETE.

Ndugu zangu, Naziona ishara za kuendelea kwa mvumo mbaya wa upepo wa kisiasa na hususan inapohusu hoja ya Muungano na muundo wa Serikali. Mjadala unaoendelea sasa ni kama vile umefunikwa kwa chandarua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA APRIL 11, 2014

Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa  na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KABURI LA SHEIKH YAHYA HUSSEIN LABOMOLEWA

 Kaburi la Sheikh Yahya Hussein ambaye alizikwa tarehe 21.5.2011. Kaburi la Sheikh Kaseem Bin Juma ambaye alizikwa mwaka 1994. ENDELEA KUSOMA HABARI HI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Mtoto wa Marehem Sheikh...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAJIPANGA KUMALIZA AJALI ZA BARABARANI NCHINI JE ITAWEZEKANA?.

Kamanda wa Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akiwaonyesha waandishi wa Habari(Hawapo pichani) vipima mwendo vya magari, Kushoto ni Kipima mwendo cha kisasa kinachotumiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUDU BAYA AKANUSHA KUMKATA SIKIO MAMA YAKE MKUBWA ASEMA HAJAONANA NAYE MUDA...

Msanii mkongwe wa Hip Hop, Godfrey Tumaini aka Dudu Baya, amekanusha kuhusika katika tukio la kumkata mama yake mkumbwa sikio kama ilivyoripotiwa na mdogo wake wiki hii Akizungumza na ‘You Heard’ ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMREF HEALTH AFRICA LAUNCH ITS NEW IDENTITY

Country Director, AMREF, Dr. Festus Illako cutting the ribbon during the AMREF Health Africa launch new identity. The frame Ceremony held yesterday April 10, 2014 AMREF office in Dar es Salaam,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENDI YA KIJANJA SKYLIGHT YAZIDI KUPAGAWISHA MASHABIKI WAKE THAI VILLAGE

Aneth Kushaba AK 47 akiongoza Madiva wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige).Birthday Girl mdau wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: AJALI YAUWA WAWILI MKATA

Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi Asubuhi ya leo.Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MSIMAMO WA LIGI YA TANZANIA BARA HAPA

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: ALEX MSAMA APATA AJALI IPAGALA MWISHO MKOANI DODOMA

Baadhi ya Wakazi wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Mwenyekiti wa Bongo Movie(Steve Nyerere) na Single Mtambalike wakiwa pembeni ya Mkurugenzi wa Msama Promotions Limited Bw Alex Msama kwaajili ya kumpa pole...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DROO YA NUSU FAINALI YA EUFA CHAMPIONS LEAGUE YAPANGWA LEO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA AJALI YA BASI LA SMART ENEO LA LUGOBA AMBAPO WATU 2 WAMEFARIKI DUNIA

Basi la smart likiwa limepinduka eneo la LugobaWatu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo.Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA YALIYOJIRI LEO KWENYE BUNGE LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati namba 1,Mh. Ummy Ally Mwalimu akiwasilisha mapendekezo ya kamati yake leo wakati wa muendelezo wa vikao vya Bunge la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma.  ENDELEA KUTIZAMA TUKIO...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANAYO ENDELEA KUJIRI NDANI YA THAI VILLAGE NA BAND YA SKYLIGHT

   ANETH KUSHABA ambaye ni meneja wa band ya skylight akiwa jukwaani akiwaburudisha watu mbalimbali  Hatari iko hapa   SKYLIGHT  wapiga vyombo wakiwa wameshikilia vifaaa kwaajiri ya kuwa burudisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 12, 2014

Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa  na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA KWA MECHI ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI

ENDELEA KUTIZAMA MECHI NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO HALI HALISI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KWENYE KIPINDI HIKI CHA MVUA

Barabara ya Mwai Kibaki leo asubuh ilikuwa na foleni kubwa kutokana na maji kujaa barabarani na kupelekea magari kukwama katika barabara hiyo hii imesababishwa na mvua zinazoendelea kunyeshaMagari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRDB YAIPIGA JEKI UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA...

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe/ Liberata Mulamula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dr. Charles Kimei (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DARAJA LA BOKO LABOMOKA KUTOKANA NA MVUA ZINZOENDELEA KUNYESHA JIJINI DAR ES...

 Kufuatia mvua kubwa zinazonyesha jijini Dar, Daraja la Boko lililopo Barabara ya Bagamoyo limebomoka na kufunga mawasiliano.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>