Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

KABURI LA SHEIKH YAHYA HUSSEIN LABOMOLEWA

$
0
0
 
Kaburi la Sheikh Yahya Hussein ambaye alizikwa tarehe 21.5.2011.
Kaburi la Shekhe Kasimu Bin Juma amezikwa mwaka 1994
 Kaburi la Sheikh Kaseem Bin Juma ambaye alizikwa mwaka 1994.

 ENDELEA KUSOMA HABARI HI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
 
Mtoto wa Marehu Shekhe Yahya Mariam Yahya Husein akitafakari jambo kwenye eneo alilozikwa Baba yake Mzazi.
Mtoto wa Marehem Sheikh Yahya Hussein,  Mariam Yahya Hussein akitafakari jambo kwenye eneo  alilozikwa Baba yakemzazi. Picha na Mariam Mkumbaru  via Taarifa News.

Makaburi mawili ya Sheikh Yahya Hussein na Sheikh Kaseem Bin Jumaa yamevunjwa na Na watu wanaodaiwa kuwa mgambo wa jiji saa nane usiku eneo la Tambaza, makaburi ambayo yana muda mrefu katika eno hilo.
Hata hivyo haijajulikana chanzo cha kuvunjwa kwa makaburi hayo.
Wakiongea na waandishi wa habari baadhi ya wafanyabiashara wa maduka ya vyakula eneo hilo wamedai kuwa, walifika asubuhi na kukuta hali hiyo ya kuvunjwa kwa vibaraza vya maduka yao pamoja na kuvunjwa kwa makaburi hayo mawili ya watu masheikh mashuhuri hapa nchini.

Naye mtoto wa marehemu Sheikh Yahya Hussein, Bi. Mariam Hussein alifika katika makaburi hayo na kujionea kwa macho yake jinsi kaburi la Baba yake lilivyobomolewa.

Mariam amesema anasikitishwa sana kwa kuvunjwa kwa kaburi la Baba yake bila ya sababu ya msingi.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles