Mchungaji Peter Msigwa kushoto akijadiliana Jambo na Naibu waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angellah Jasmine Kairuki.
Wajumbe Profesa Ibrahim Lipumba na Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu wakijadiliana jambo
ENDELEA KUTIZAMA PICHA HIZI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
M/kiti wa kamati namba mbili Mhe.Shamsi Vuai Nahodha akiwasilisha taarifa za kamati namba mbili leo katika bunge maalum |
Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu akimwonyesha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema |
Mhe Profesa Mark Mwandosya kushoto akitafakari jambo na Mhe.Paul Makonda wakati wa uwasilishaji wa maoni ya kamati mbalimbali katika kikao cha Bunge maalum leo. |