Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA YALIYOJIRI LEO KWENYE BUNGE LA KATIBA

$
0
0
Mwenyekiti wa Kamati namba 1,Mh. Ummy Ally Mwalimu akiwasilisha mapendekezo ya kamati yake leo wakati wa muendelezo wa vikao vya Bunge la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma. 

 ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFA HAPA CHINI

Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa wamesimama kwa nyakati tofauti tofauti wakimkatiza Mwenyekiti wa Kamati namba 1, Mh. Ummy Mwalimu wakimtaka Mwenyekiti wa Bunge amtake Ummy Mwalim kusoma mapendekezo ya kamati badala ya kuwasilisha kwa mfumo wa kutosoma.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>