Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA ZA AJALI YA BASI LA SMART ENEO LA LUGOBA AMBAPO WATU 2 WAMEFARIKI DUNIA

$
0
0
Basi la smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba

Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo.
Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba  Barabara Kuu ya Chalinze Segera

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko
 .PICHA NA HABARI NA DJ SEK BLOG

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>